Karibuni sana Kariobangi Sharks, mjipigie Yanga goli 2 tu

Karibuni sana Kariobangi Sharks, mjipigie Yanga goli 2 tu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
67713918_2345235209024777_5554095782694486016_o.jpg

Mjisikie mko nyumbani,Kenya ni ndugu zetu wa karibu sana.

Tunawakaribisha na kuwapa fursa ya kujipigia Yanga. Mashabiki wenu tupo tutakuja kwa wingi kutia hamasa. Ili msivuruge amani ya nchi kwa simanzi,basi pigeni Yanga goli 2 tu.

Mungu ibariki Kariobangi Sharks katika mchezo wa leo
 
Nakukumbusha kua hii ni mechi ya kirafiki tu "pink fc"
 
Mikia roho zinawauma kweli..tunatoa offer ya Taifa gas mwezi mmoja bure karibuni
 
Back
Top Bottom