OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #21
Sioni beki wa kumzuia Kagere, Mbrazili,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamu upi mkuu. Mi naona ni sawa na kademu kanarukaruka mastaili juu ya kifua cha kidume Kariobang. Mwanaume katulia tu anakata uno kwa stepVipi mzee baba, umeiona hii Yanga ilivyo tamu? Mbaya zaidi nje kuna kikosi kingine kilichokamilika ukiondoa yale majembe yetu yaliyoko CHAN! Hakika tumeshawasha mitambo.
Daah.. haya majembe ya yanga ni noma aisee.. yanagongesha mitamba ya panya!
Mbeleko United,Sioni beki wa kumzuia Kagere, Mbrazili,
Jipe matumainiKwasu kwasu hawana timu wanakimbizwa namna hii duuuh.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Ndoto za kusadikikaBalinya ni hata goli likiwa wazi haiwezi tia kamba
1-1FTMatokeo yamekuwa ngapi ngapi?
Umeandika kishabiki maandaziYanga hii ndio makelele mjini kutwa
hovyo kabisa
Ukiona hawana mbwembwe ujue hamna kituMatokeo yamekuwa ngapi ngapi?
Hii Yanga bora Mwadui, club bingwa mapa tu wanatoka