Karibuni sana Kariobangi Sharks, mjipigie Yanga goli 2 tu

Karibuni sana Kariobangi Sharks, mjipigie Yanga goli 2 tu

Vipi mzee baba, umeiona hii Yanga ilivyo tamu? Mbaya zaidi nje kuna kikosi kingine kilichokamilika ukiondoa yale majembe yetu yaliyoko CHAN! Hakika tumeshawasha mitambo.
 
Vipi mzee baba, umeiona hii Yanga ilivyo tamu? Mbaya zaidi nje kuna kikosi kingine kilichokamilika ukiondoa yale majembe yetu yaliyoko CHAN! Hakika tumeshawasha mitambo.
Utamu upi mkuu. Mi naona ni sawa na kademu kanarukaruka mastaili juu ya kifua cha kidume Kariobang. Mwanaume katulia tu anakata uno kwa step

Kwamba Kariobang hawana wachezaji waliobaki?
 
Hii Yanga bora Mwadui, club bingwa mapa tu wanatoka

Siyo jambo zuri kuilinganisha timu ya wananchi na vitu visivyotambulika duniani! Mwadui ndiyo kitu gani katika ulimwengu wa soka? Niamini mimi, Yanga ya sasa ni ya levo za akina As Vita, Kaizer Chief, nk.
 
Back
Top Bottom