Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
jamani kitaani kwetu hapa naona kuna shereh hapa jirani kwetu ndo inaanza muda huu nahis itakuwa ya graduuu,karibuni sana ase wale mlo karbu na mnaskia saut ya huu mziki,kama vp naweza kuwaelekezeni ilipo mje kwa wing tushudie na kulaaaa....ase mi sio mchoyo karbun saana wakuu.