karibuni sana

karibuni sana

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
5,487
Reaction score
4,817
jamani kitaani kwetu hapa naona kuna shereh hapa jirani kwetu ndo inaanza muda huu nahis itakuwa ya graduuu,karibuni sana ase wale mlo karbu na mnaskia saut ya huu mziki,kama vp naweza kuwaelekezeni ilipo mje kwa wing tushudie na kulaaaa....ase mi sio mchoyo karbun saana wakuu.
 
Leo ulilivuta tu au ulichemsha ukanywa kama chai?
 
Back
Top Bottom