Karibuni Swimmingpool ya kibabe Dege kigamboni

Karibuni Swimmingpool ya kibabe Dege kigamboni

Tangu nione watu wakibanduana kwenye pool....na mikojo wanaimwaga humo HUWA SINA HAMU KABISA!

Tena huwa sina aman hasa nikikumbuka tabia za watu weusi za kutojali na kutokuwa waaminifu ( Yaani namaanisha anaepewa kazi ya kuweka dawa maji, haweki bali anaiba ili akauze ),
Hili huwa linatia mashaka sana kutumia pool!

Nimenunua Yale mapool ya watoto najazaga maji najiloweka na mtambi wangu kwa roho saafi!

Kwenda kwenye pool hadi nijiridhishe usafi na usimamizi kama ni mathubuti
 
Mkuu weka na kapicha ili pm yako ijae pisi za jf
 
Nimewekeza Kwenye biashara ya swimmingpools na ninawakaribsha wote kwa ajili ya kufurahia maisha.. ipo maeneo yanaitwa Dege kigamboni

IMG_7329.jpg
 
Iko dege sehemu gani? Dege ni kubwa mkuu, toa maelezo ya jinsi ya kufika eneo husika.
 
Iko dege sehemu gani? Dege ni kubwa mkuu, toa maelezo ya jinsi ya kufika eneo husika.

Katikati ya Kibaoni na Dege… kituo kinaitwa kwa Pazi ni mita 100 kutoka barabra ya Lami
 
Back
Top Bottom