Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewekeza Kwenye biashara ya swimmingpools na ninawakaribsha wote kwa ajili ya kufurahia maisha.. ipo maeneo yanaitwa Dege kigamboni
Nimewekeza Kwenye biashara ya swimmingpools na ninawakaribsha wote kwa ajili ya kufurahia maisha.. ipo maeneo yanaitwa Dege kigamboni
Mbona maji meusi hivyo!!
dah! Ila we jamaa.
Iko dege sehemu gani? Dege ni kubwa mkuu, toa maelezo ya jinsi ya kufika eneo husika.
dah! Ila we jamaa.
Yaani tangia tarehe 15 mwaka jana unajibu leo?
Tangia mwaka jana unakuja kujibu leo mwakani?
Alingoja mvua zijaze pool😂dah! Ila we jamaa.
Yaani tangia tarehe 15 mwaka jana unajibu leo?
Tangia mwaka jana unakuja kujibu leo mwakani?