Simba mmeanza kupata mchecheto. Subirini dawa iwaingie
Mkihonga nyie sawa ila sisi nongwa.[/QUOTENyie nani?Tuanzie hapo kwanza.
Kama kusoma hujui, kuona je?Kwani kuna sehemu mwandishi kaitaja Yanga ?
Nyie nani? Kwani kuna sehemu mleta mada kaandika jina la timu?Simba mmeanza kupata mchecheto. Subirini dawa iwaingie
Mkihonga nyie sawa ila sisi nongwa.
Ni rahisi kutambua kama hako kamchezo unakafanya.Kama kusoma hujui, kuona je?
Kwamba kichwa cha habari hukioni auNyie nani? Kwani kuna sehemu mleta mada kaandika jina la timu?
Kwanza Geita hachezi leo. La pili nikuulize jana nyie mlifanya maigizo ya kibiashara? Yaani kushinda mshinde nyie tu wakishinda wengine basi mipango. Katika msimu ambao mmekuwa mnaweweseka kupita kiasi ni huu. Yaani hamna raha kabisa dhidi ya mpinzani wenuTayari script imeshaandikwa na leo tutashuhudia watu wako location kutoa kipande kingine cha dakika tisini,starring akiwa anajulikana.Na akifa atafia kwenye maua...
Hii Tabia ya kijinga mashabiki wa Simba iacheni mara moja vinginevyo Mods mfanye kinachostahili. Simba imecheza Jana na mpira umeonekana aliyestahili kushinda kashinda, lakini wenzenu wakishinda mnaleta maneno ya kitoto utafikiri JF wamejaa chekechea. Tunaipenda Simba lakini kuwa na mashabiki wa Aina yako ni uchuro.Tayari script imeshaandikwa na leo tutashuhudia watu wako location kutoa kipande kingine cha dakika tisini,starring akiwa anajulikana.Na akifa atafia kwenye maua...
Yaani kolo sababu ninyi jana mmemnunua biazara basi mnajua kila mtu ananunua.Tayari script imeshaandikwa na leo tutashuhudia watu wako location kutoa kipande kingine cha dakika tisini,starring akiwa anajulikana.Na akifa atafia kwenye maua...
mshamba ww sio hirizi hiyo,kama haujui kwa nn usiulize?Haya mahirizi yatawaponza makolobataView attachment 2139295View attachment 2139297
Sio mbaya ukamuelimisha ili siku nyingine asipate shidamshamba ww sio hirizi hiyo,kama haujui kwa nn usiulize?
Vichwa vigumu haviambilikiSio mbaya ukamuelimisha ili siku nyingine asipate shida
Samahani mkuu , nimekurupuka tu.Maana lile pira la chama la jana limenifanya nilewe bila kunywaKwamba kichwa cha habari hukioni au
Takataka kwenye ubora wake, utateseka sana wewe msimu huu, stress +wivu vitakuua mpaka pale mtakapokubali kuwa uyo starring unayemsema yuko kwenye ubora wake amekuzidi kila eneo kuanzia kwenye takwimu mpaka aina ya vifaa anavyotumia kuifanya kazi yake vina ubora wa hali ya juu ukilinganisha na vya kwako, kwaiyo mkiendelea kushupaza shingo kuna siku itavunjika kwa maana ukweli mnaujua lakini mnakufa na tai shingoni pole yenuTayari script imeshaandikwa na leo tutashuhudia watu wako location kutoa kipande kingine cha dakika tisini,starring akiwa anajulikana.Na akifa atafia kwenye maua.
Mashindano makubwa hasa kwa starring wetu ni kutaka kudumisha historia ya hapa nchini. Huko nje ni vigumu kwa sababu kule soka halisi linachezwa na siyo maigizo. Ndiyo maana tunafahamu kuwa starring hana historia nzuri huko kwenye mpira halisi.
Kila la heri kwa waigizaji wetu wa leo. Ila nauona mwisho mbaya wa Geita kwa kuwa imeacha kucheza soka na kuanza kudanga.
Ameonyesha wazi ujinga wakemshamba ww sio hirizi hiyo,kama haujui kwa nn usiulize?