Karibuni tena leo katika mchezo wa kuigiza soka kati ya Yanga na Geita Gold

Tayari script imeshaandikwa na leo tutashuhudia watu wako location kutoa kipande kingine cha dakika tisini,starring akiwa anajulikana.Na akifa atafia kwenye maua.

Mashindano makubwa hasa kwa starring wetu ni kutaka kudumisha historia ya hapa nchini. Huko nje ni vigumu kwa sababu kule soka halisi linachezwa na siyo maigizo. Ndiyo maana tunafahamu kuwa starring hana historia nzuri huko kwenye mpira halisi.

Kila la heri kwa waigizaji wetu wa leo. Ila nauona mwisho mbaya wa Geita kwa kuwa imeacha kucheza soka na kuanza kudanga.

FNAl2FqWYAYGSos.jpeg
 
Sasa kumbe Yanga hawawezi kununua mechi kwa Simba wals Azam. Kwa maana hiyo Azam walikula vyuma viwili kihalali kabisa. Na Simba kachezea kwenye ngao ya jamii kihalali kabisa huku kwenye mechi ya ligi wakishangilia siku nzima kutoka sare na yanga. Sasa kama imeshindwa kufungwa na Azam na Simba je kwa akili yako ni timu zipi ambazo zinauwezo kuliko Azam na Simba ambayo yanga iwaogope kucheza nao mpaka wahonge?
Azam pale zanzibar aliwapiga ngap mkuu?
 
Azam pale zanzibar aliwapiga ngap mkuu?
Kwanza ungenujibu swali langu kuna timu inayoizidi Azam na Simba kwa viwango ili Yanga iwahofie zaidi hao kwa kuwaonga? Hiyo mechi ya Azam na Yanga mechi iliisha kwa sare ya bila kufungana. Halafu ni mechi ambayo keys players wengine walitoka kula bata wakapandishwa boti kucheza na wengine ndio hawakuwepo kabisa kikosini.
 
Tayari script imeshaandikwa na leo tutashuhudia watu wako location kutoa kipande kingine cha dakika tisini,starring akiwa anajulikana.Na akifa atafia kwenye maua.

Mashindano makubwa hasa kwa starring wetu ni kutaka kudumisha historia ya hapa nchini. Huko nje ni vigumu kwa sababu kule soka halisi linachezwa na siyo maigizo. Ndiyo maana tunafahamu kuwa starring hana historia nzuri huko kwenye mpira halisi.

Kila la heri kwa waigizaji wetu wa leo. Ila nauona mwisho mbaya wa Geita kwa kuwa imeacha kucheza soka na kuanza kudanga.
Duh! Kweli wewe noma umeamua kulibemenda liwalo naliweeeeeee [emoji23][emoji23]
 
Kila la heri kwa waigizaji wetu wa leo. Ila nauona mwisho mbaya wa Geita kwa kuwa imeacha kucheza soka na kuanza kudanga[emoji1533]
Mkishinda nyie ni halali. Wengine wakishinda wanahonga. So nyie ndo mna ithibati ya ushindi tu hapa Tanzania?
 
Hana uwezo wa kununu mech yyte ya Azam wala Simba...anahonga tu vtimu vidogo vyenye vijivikozi vya kauka nikuvae kama wao
Sasa mbona akachukua ngao kwa Simba? Na huyo Azam akapigwa? Hawakuhongwa?
 
Kwanza ungenujibu swali langu kuna timu inayoizidi Azam na Simba kwa viwango ili Yanga iwahofie zaidi hao kwa kuwaonga? Hiyo mechi ya Azam na Yanga mechi iliisha kwa sare ya bila kufungana. Halafu ni mechi ambayo keys players wengine walitoka kula bata wakapandishwa boti kucheza na wengine ndio hawakuwepo kabisa kikosini.
Kwa hyo tuseme kikundi chenu mnachokiita team wachezaji wao wanakula bata badala ya kufanya mazoez kwa ajili ya fainal?ila kikubwa najua mlifungwa 9 hizo nyingine n porojo tu za kutafuta sehem ya kujifichia
 
Kumbe mpira haufatiliagi unaonekana. Mechi ilikuwa sare dakika 90 na ndio maans ikaamliwa mikwaju ya penati. Hata kwenye kubeti matokeo ambayo yanayochukuliwa ni ya dakika 90 tu. Kuhusu wachezaji kula bata ni kweli kikosi kilichopangwa kushiriki michuano ya mapinduzi ni kilikuwa mchanganyiko wa wachezaji wanaofanya majsribio + wachezaji wa kikosi cha pili + baadhi ya kikosi cha kwanza. Baada ya kufuzu nusu fainali ndipo wakawaita wachezaji wa kikosi cha kwanza waliokuwa mitaani waje kuongeza nguvu
 
Kwa hyo mliamua kuwachezesha wachezaj wa majarbio kweny fainali sio?ndo maana nasema yanga ni janja janja tu...kikosi ni kauka nikuvae...akikosekana aucho unaanza kuskia mashabiki wanapata kiwewe
 
nyie makolo mnahaki ya kushinda au cio
 
Back
Top Bottom