Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 631
- 592
Kwanza unatakiwa kujua maana ya hiyo driving lecence na umuhimu wa kua nayo pia sio hapa tu kwenye nchi ya dunia ya 7, mpaka dunia ya kwanza huko lazima uwe na driving lecence, na kuna vyombo hata uwe na hiyo lecence pia hutoendesha mpaka uwe na kibali maalum na sio hiyo leseni peke yake mf: supercars/ racing carNdg zangu naomba tujadili umuhimu wa kuwa na driving licence kwa watu ambao wanamiliki gari binafsi na zisizo za kibiashara, je kwanini isiwe kwa madereva wanaoendesha gari za biashara kama mabus, maloli, tax na wale ambao wataomba kazi za udereva kwenye taasisi mbali mbali. Nini faida ya mimi kuwa na driving licence, je nikisoma driving school kujua sheria za barabarani haitoshi?
Tujadili
Hata boda boda inahitaji leseni kisheriaMkuu gari sio bodaboda..