Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 631
- 592
Ndugu zangu naomba tujadili umuhimu wa kuwa na driving licence kwa watu ambao wanamiliki gari binafsi na zisizo za kibiashara.
Je, kwanini isiwe kwa madereva wanaoendesha gari za biashara kama mabus, maloli, tax na wale ambao wataomba kazi za udereva kwenye taasisi mbali mbali?
Nini faida ya mimi kuwa na driving licence, Je nikisoma driving school kujua sheria za barabarani haitoshi?
Tujadili