Karibuni tulewe maisha ndio haya haya

Karibuni tulewe maisha ndio haya haya

Wise E

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
952
Reaction score
1,016
Wakuu habali zenu
Nasomeka gambeni muda huu nina serengeti lite 10,kwa mwana ambae yuko around mitaa hii
niko pub yangu ya kitaanii Gold j pub hapa sinza madukani karibu na jengo la emirate.
ila kama unajijua wewe ni chawa usisogee karibuni sana .
Kiroho safi tufurahie holiday jamanii
 
mkuu haupo serious.viserengeti 10 unaalika raiaa kutoka JF!?😳 pangekuwa na bapa kubwa kama 3+kvant za kushato zimetia nanga around visenge lite ingekuwa OG troniki kinyama.but enewey enjoy life mjuba ss tusio tumia vilevi tuko home tuu tunajipongeza na vfursana na ukwaju ili mradi tuenjoy...🚶🏿🚶🏿🚶🏿
 
Wewe endelea tu ila tunaomba usilewe..


~~Kitakachokupa ushindi ni juhudi zako~~
 
Back
Top Bottom