Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Habari za jumapili waungwana,bila shaka mpo salama..siku kadhaaa nyuma nilikutana na Jamaa umri kama wangu..anazungumza kisukuma hadi raha..nikajisikia wivu..wazazi wangu wamezaliwa mjini,nimezaliwa mjini..wao Ni wahee..but sijui kabisa kuongea...so karibuni Kila mtu azungumze lugha yake ya asili..naanza KAMWENE??