Karibuni tusemezane lugha za asili

Karibuni tusemezane lugha za asili

Habari za jumapili waungwana,bila shaka mpo salama..siku kadhaaa nyuma nilikutana na Jamaa umri kama wangu..anazungumza kisukuma hadi raha..nikajisikia wivu..wazazi wangu wamezaliwa mjini,nimezaliwa mjini..wao Ni wahee..but sijui kabisa kuongea...so karibuni Kila mtu azungumze lugha yake ya asili..naanza KAMWENE??
Nataka fidia nimeona sim yangu imeingia utitiri na chawa
 
Mwadela gawiza. ....

Mwangalukaa... ulimholaaa. ..

Tate Mwinyi. ...

Onga mshee... mwinuka zezee

Namnani. .. mwashinjiadheee

Shimbony nashichaa. ...

Ndeushamasoraa....

Hizo lugha hapo juu zote zinanihusu kabisaa kwa namna ya chimbuko la wazazi.


Kasie Chotara.
Mwadela mayoo..

Mwangalukaa..
 
Back
Top Bottom