Nikikupataaa.....,milele nitafurahiiii....Kaniweka darasani kunifundisha vizuri
Mengi hauajulikani yataka kuyakariri
Kanichorea ramani kopa lenye nyingi Siri
Nyekundu nje na ndani rangi yake zikifuriji
Raha kupendwa rahaaaa
Ntaimba nakupendaaa...... mpaka mwisho wa uhaiiii...