Sakayo
Jua kwamba wewe ndio wangu
Baridi ya roho 'seisha na hamu
Sura yako dawa kwangu
Raha za pungu' kando zangu
Mahaba yako ndio tiba yangu
Nyota yako yang'ara yangu
Hebu tathmini kisha nipe jibu
'Vi kwanini hutaki kunijibu
Mitihani yote nimeshinda
Nadhani ni wakati
Penzi letu sisi liwe wazi
Roho yangu inauma
Maumivu sasa basi
Sasa basiiiii
Ni kwa thabiti nielewe
Pesa sio mapenzi...
Pesa sio mapenzi...
Kwa utenzi huu
Nielewe baby
Nakuhitaji mpenzi
Wewe nd'o faraja yangu
Wewe nd'o faraja yangu
Faraja yangu
You are my baby...
Jua kwamba wewe ndio wangu (oohhh...)
Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu)
Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi)
Raha za pungu' kando zangu (nd'o zangu)
Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti.)
Nyota yako (ehh.) yang'ara yangu (Kwangu mimi)
Kama tamaduni zetu ni moja
Twende nyumbani ukamsabahi mama
Tupate baraka za wazazi
Na uwajue ndugu zangu
Dini zetu isiwe kama hoja
Pingamizi sintozingoja
Niko tayari kukuvisha pete
Uwe wangu...