Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Huna pesa na mijengo ndo maana wanazingua, tafuta mwenye real love na sio ule upendo wa maua.../Hata PM zangu huwa hawajibu, labda wewe ukuje uokoe hili jahazi mkuu...😋😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna pesa na mijengo ndo maana wanazingua, tafuta mwenye real love na sio ule upendo wa maua.../Hata PM zangu huwa hawajibu, labda wewe ukuje uokoe hili jahazi mkuu...😋😜
Daah, kwahiyo mimi niwasubiri wanaume wa buza sio?
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]nimekuwa disappointed sana.
Unfortunately I'm already old, maybe just give me your heart as I see others giving in here..... and I am not in a hurry to die, if you want to die you must go ahead and meet you there..😡☹
Oh nilijua mimi pekee ndio PM zangu hazijibiwi. Kumbe sipo pekee.Hata PM zangu huwa hawajibu, labda wewe ukuje uokoe hili jahazi mkuu...😋😜
Ninakupenda Lenie, nahitaji uwe wanguMe sina cha kusema zaidi ya nakupenda sana, hakika we ni wangu wa kufa na kuzikana
Ninogeshe, ninogeshe baby... baby ninogesheWe dada nikizidiwa nakuja chumbani! Una maneno matamu yasiyoisha hamu..
Niite wako tabibu nami nikutibu..😉
Inaonekana unajua kuimba na unazijua nyimbo za kitambo njoo uniimbie hii..Baby tayari nishatua, moyo wangu chukua
This has made my day[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba nipapase, ila waleti yangu usiguse.../
Mpenzi nakupenda[emoji444][emoji444][emoji444]Naaaajuta jina langu ni lenye rangi ya chuungwa
Maringo yako na mwendo vinanichoshaaa
Nachokaa kabisa
Kinacho nichoshaa eh nyumbani kwenuuu wamezidia ukali eh
Nifanye nini ili upate nielewa eh
Sent using Jamii Forums mobile app
In the name of love, I'm gonna take ya feelings and keep'em in my heart/
Namsubiria mdada atakayecomment wa kwanza nianze naye.
Wale walinidhurumu, nikawapa wakaibaNinakupenda Lenie, nahitaji uwe wangu
Naomba nikubalie, iridhike roho yangu
Nafsi yangu itulie, uponye vidonda vyangu
Ole unikatalie, nitadhuru nafsi yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Paula binti mrembo, hakika umeumbikaUkiwapa mashairi hawajibu Ushimen?
Ukilala lala salama, kumbatia picha yangu../
Yule alokudhurumu, baby usimkumbukeWale walinidhurumu, nikawapa wakaiba
Ukaifuta na sumu, ukaijenga na huba
Baba baba niongezee, nipe vyote nikumbate
Na mahaba nipe yotee, wale wasinikamate
Yale yaliyokusibu,naomba uyapuuzeWale walinidhurumu, nikawapa wakaiba
Ukaifuta na sumu, ukaijenga na huba
Baba baba niongezee, nipe vyote nikumbate
Na mahaba nipe yotee, wale wasinikamate