Karibuni tutongozane kwa mashairi ya nyimbo hasa za mapenzi

Karibuni tutongozane kwa mashairi ya nyimbo hasa za mapenzi

First time nakuona, nikajua nakupenda...
Ukashangaza macho yangu, mwendo wako unavyokwenda...
Usiku wake nikalala nikaota kama nakwambia nakupenda...
Baada ya kushtuka kumbe nipo peke yangu...
Ikanikondesha, nikabaki nakesha, nikapata mapressure
Baby sema basi kama utajibu Yes
(Mr. Blue ni mkali sana)
 
Marahabu mwanangu, kitulize wazuri wanazaliwa kila siku.
Sawa Dada/mama/ bibi kwa ushauri.

Naomba uniruhusu nami nikushauri kama ulivyonishauri.

Huo ushauri ulionipa waambie wanao au wadogo zako mkuu kama hauna mpe mpenzi wako.
 
I think about you, but I don’t want to dream about your smiling face

I keep trying not to love you, But I love you anywaysssssss.

We should be together - Don Williams
 
lliedie

Marhaba marhaba Habibi
Tunda Komamanga la kupachua ooh!mahaba
Mahaba yanizidi
Kiini mchaga cha kuchachua

Tamu zeituni tunda la peponi nalila
Gemu ya sakafuni tunadundishana kipira,
Napewa penzi sabuni linalonitakasa madhira,

lliedie
 
lliedie

Marhaba marhaba Habibi
Tunda Komamanga ooh!mahaba
Mahaba yanizidi
Kiini mchaga cha kuchachua

Tamu zeituni tunda la peponi nalila
Gemu ya sakafuni tunadundishana kipira,
Napewa penzi sabuni linalonitakasa madhira,

lliedie
lol🤗🤗
Nitakuja kuijibu usijali😅😅
 
Bado umenuna (bado umenuna)
Na hucheki tena (ooh oh oh)
Najuta naogopa (najuta naogopa)
Roho inaniuuuma (braa bra bra bra bra)
Kosa ni kosa (jyeah ah)
Ukishakosa tena (si si si si si)
Naomba samahani (ah ah ah ah ah)
Mtoto mzuri sana (ooh)
#daaah maisha yanaenda kasi sana
 
I have been sitting here so long
Wasting time, just starring at the phone
And I was wondering should I call you
Then I thought maybe you are not alone
Please give me one more night

PHIL COLLINS
 
Taratibu mumy naomba nikwambie,
Nimefichaficha linalontesa mie si mara ya kwanza me kuonana nawe , ila ni ya kwanza kuongea nawe naomba nikwambie ukweli bibie
Mi nimekupenda , ilo naomba ujue,
Uelewe utambue unanitesa eee ,
Napenda niwe nawe mateso yapungue ,
Sura yako nzuri mpaka shepu bibie,
Una nichanganya changanya mi mwenzako ujuue eee.
Best nasoro-nipe nafasi.

Kama utani haka ka wimbo kakaondoka na mtu!
 
I have been sitting here so long
Wasting time, just starring at the phone
And I was wondering should I call you
Then I thought maybe you are not alone
Please give me one more night

PHIL COLLINS
This is Jakaya Kikwete favourite song, he said it in one of his birthday!
 
Bado umenuna (bado umenuna)
Na hucheki tena (ooh oh oh)
Najuta naogopa (najuta naogopa)
Roho inaniuuuma (braa bra bra bra bra)
Kosa ni kosa (jyeah ah)
Ukishakosa tena (si si si si si)
Naomba samahani (ah ah ah ah ah)
Mtoto mzuri sana (ooh)
#daaah maisha yanaenda kasi sana
Marlaw wakati akiwa sawa. Saa hii kile kiuno cha Besta kikimkatikia tu, mashairi yote yanahama
 
lliedie

Marhaba marhaba Habibi
Tunda Komamanga la kupachua ooh!mahaba
Mahaba yanizidi
Kiini mchaga cha kuchachua

Tamu zeituni tunda la peponi nalila
Gemu ya sakafuni tunadundishana kipira,
Napewa penzi sabuni linalonitakasa madhira,

lliedie
Mhindi wa kusini anamaneno kama kitabu
 
Back
Top Bottom