Karibuni UDSM makontena mapya yameanza mwagika

Sisi huku tumeshawabikili nyie kuleni vya jalalani
 
Na wewe unasoma hapo Jalalani University??
 
Waheshimuni ni kuwajali wadogo zenu hata kama hamjazaliwa tumbo moja.
 
Mabaharia wote na vijana barobaro hapo kuna "kontena " toka WAMA, hao watoto wa kiume na kike wana ugonjwa wa UKIMWI, wanasomeshwa kwa msaada wa watu wa MAREKANI.

Wanatumia ARVs na wamenenepa kweli kweli, ganyaga unase.
Tusije kulaumiana baadae, kama umempenda mtu, peleka posa kwao, subiri amalize chuo, umuoe kwa hesham zake, haso ndio waasomi tunao wategemea.
 
Mdogo wangu wewe ulianbiwa akayafate tena mawili ngozi original kabisaaaaa ukaingia mitini.
Hutaki maendeleo yetu weye.
Ulichukua bag ukaondoka nalo jamani dada
 
Mrembo gani huyo anakubali kirasihi hivyo?


Kama ni chai sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…