Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Huyu kaleta kamba ya mbuzi anataka kufunga watu.
Waacheni watoto wasome bana dah, wazazi kijijini tunawategemea sana, tulikusanyika mtaa mzima kumuaga huyo binti huku Tanga tafadhari sana kijana eeh.