TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Habari za siku, wabunifu na watengenezaji wa multimedia!
Huu uzi ni maalumu kwa kuwakaribisha nyote wenye ujuzi na ubunifu katika usanifu na utengenezaji wa michoro ya kidijitali (digital graphics), video fupi, na sauti (audio) kwa ajili ya utambulisho (branding) na utangazaji wa biashara mbalimbali.
Lengo ni kutambua vipaji vipya na vya zamani, hivyo kuwapa fursa wadau watarajiwa kushirikiana nanyi katika kazi mbalimbali. Tafadhali tujulishe kuhusu kazi zenu, ikiwezekana kwa kuwasilisha portfolio yenu au mifano ya kazi mlizofanya. Hii itawawezesha wadau mbalimbali (ikiwemo mimi) kutathmini uwezo wenu na kuwapa fursa za kushiriki katika kutengeneza kazi zao sasa au siku za usoni.
Zingatia ubora (quality), ubora wa kipekee (uniqueness) na wa hali ya juu (excellence), ufanisi (efficiency), na uthabiti (robustness).
Tunatazamia kuona ubunifu wenu!
Ahsanteni,
tf