Karibuni wadada/wamama

Karibuni wadada/wamama

ah macho hayana pazia, napita tu...:coffee:
 
kUWAI KURUD NYUMBAN
kumshirikisha mipango
kumsapot anachokifanya
kudirect,kumshauri kumfanya awe rafik na sio habar za CHACHA MWITA....aiisseee mimi mwanaume azihitajiki,..
kutoa poket money...(km unayo usiwe mbahili)

usipige kaz za nje

Saaafi!!, ntajaribu sweeetie, lakini hi ya mwaisho ngumu......
 
Na kumfulia nguo za ndani?????? huku ni kuwaendekeza sasa.


Sema wewe kiazi.....
Hivi inakuwaje mwanaume ushindwe kujifulia nguo zako za ndani, wewe ukioga unarundika tu, mwenzako akufulie. Ukute ndiyo zimefuliwa na kuanikwa kwenye kamba msururu,mchana kweupeee! Fikiria unafua wakati unajua fika mwenzako katoka kwenye mechi ya nje! Kweli ndoa ni uvumilivu, lol
 
we wampendezesha raha aenda pewa mwingine. Mmmh kweli kazi tunayo
 
:twitch::twitch::twitch:Acheni kudanganyana nyie! Mbona nyie mnafua nguo za ndani za bwana zenu? Mnataka wenzio wasifue ili waonekane hawafai na waachike sio? :twitch::twitch:
 
Sema wewe kiazi.....
Hivi inakuwaje mwanaume ushindwe kujifulia nguo zako za ndani, wewe ukioga unarundika tu, mwenzako akufulie. Ukute ndiyo zimefuliwa na kuanikwa kwenye kamba msururu,mchana kweupeee! Fikiria unafua wakati unajua fika mwenzako katoka kwenye mechi ya nje! Kweli ndoa ni uvumilivu, lol

Na kama si mcheza mechi za ugenini! utafurahia eeh! We acha kumfulia , atafuliwa na wengine
 
kibweka kujiamini twajiamini ila ttzo baadhi ya wanaume heshima ziro, japo tunawapendezesha na kuwapenda lol
 
sielewi topic,.........nini vile
hayo si mapenzi nahisi utumwa au NEO-UTUMWA enzi za feudal na feudalmode zinakuja kinyume
eti kisa nagopa kuachika lolooooooooooooooo......kwa wanao support nawapa poleee am done on my part sifanyi si lazima ni upendo na kama haupo hata majiko tutenganishe tu ajipikie
 
Na kama si mcheza mechi za ugenini! utafurahia eeh! We acha kumfulia , atafuliwa na wengine

heeee kumbe wewe unafua kuogopa kuwa atafuliwa na mwingineee......mumy alishafuliwa sana na wewe ujue si wa kwanza and keep in your mind hata ukifua hautakuwa wa mwisho..........ushauri wangu bora uache tu...
 
hahaha eti kisa wanawake wako wengi,ndio ushindani mkubwa na wengine wako tayari kuwa 'watumwa' ili kuendelea kum'keep' mwanaume....mie bado sijafanya huo upuuzi,na achape mwendo!!!:twitch:
 
mi sithubutu kufanya hayo. kwani yeye hana mikono? au hapendi kuonekana maridadi? atajijua mwenyewe kama anataka kutoka mchafu, kwani tunaongozana? mambo mengine bwana!
 
Kazi kwei kwei lol! Bora nikae kimya
 
mhh! Baadhi ya wanawake wamekuwa wakali kweli, kwani ni lazima kumfanyia mwanaume vitu vyote hivyo? Ni suala la upendo kwa vitendo kama unaona hauwezi au unakwazika unaweza usimfanyie vile vile.
 
Anajiandaa mwenyewe!kila mtu na aishi maisha yake,kuna vitu vingine havifanyiki mpendwa!
Ingekua poa zaidi kama wangeandaana!Sio mmoja anapendezeshwa wakati yeye hamjali mwenzake!
 
Nawale wa sio lala manyumbani kwao siku tatu wiki, na wanatembea na vibegi kwenye gari wasaidiweje?
 
Ndugu mi mwenyewe nlitaka kukaa kimya kimeniwashaa.
 
Back
Top Bottom