SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Thanks Sana sayansikim,tumekuelewa wageni na tumeelewa vizuri nama ya kuishi humu pia kuutumia uwanja huu kwa manufaa zaidi,vp kuhusu wale wasio tumia majina yao na hâta kutumia Nick name na badala yake hutumia majina kama SAYANSIKiM kama ambavyo wewe mwenyeji umefanya?
Mambo vipi wageni karibuni sana kwenye huu mtandao.Ili uweze kukaa vizuri humu unashauriwa kupitia sheria za humu kwanza.Pia unatakiwa kutumia lugha ya heshima na adabu ambayo siyo kero kwa wengine.Ukivunja sheria za humu unaweza ukapigwa ban au ukafutiwa akaunti yako.Lakini ukifuata sheria utakaa na amani bila matatizo yoyote.Karibuni sana wageni.Mimi nikama mwenyeji wenu nipo tayari kuwapokea KARIBUNI SANA.
Lakini si nimeshakuwa mwenyeji kwa hiyo ninavyovigezo vya kupokea wageni.
Usikonde kijana. Pamoja sana.
Ahsante sana ndugu ukalim ndio asili yetu watanzaniaMambo vipi wageni karibuni sana kwenye huu mtandao.Ili uweze kukaa vizuri humu unashauriwa kupitia sheria za humu kwanza.Pia unatakiwa kutumia lugha ya heshima na adabu ambayo siyo kero kwa wengine.Ukivunja sheria za humu unaweza ukapigwa ban au ukafutiwa akaunti yako.Lakini ukifuata sheria utakaa na amani bila matatizo yoyote.Karibuni sana wageni.Mimi nikama mwenyeji wenu nipo tayari kuwapokea KARIBUNI SANA.
Ahsante sana ndugu ukalim ndio asili yetu watanzania
Aksante!!!!
Ahsante sana ndugu ukalim ndio asili yetu watanzania
hodiiiiiiiiiiiiiiiii!