SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Mambo vipi wageni karibuni sana kwenye huu mtandao.Ili uweze kukaa vizuri humu unashauriwa kupitia sheria za humu kwanza.Pia unatakiwa kutumia lugha ya heshima na adabu ambayo siyo kero kwa wengine.Ukivunja sheria za humu unaweza ukapigwa ban au ukafutiwa akaunti yako.Lakini ukifuata sheria utakaa na amani bila matatizo yoyote.Karibuni sana wageni.Mimi nikama mwenyeji wenu nipo tayari kuwapokea KARIBUNI SANA.