Tofauti na kanuni za kibaiolojia ambapo mtoto hazaliwi akaanza kutambaa siku hiyohiyo,sheria za JF hazimkatazi mwana-forum mpya kuto-post mchango wake siku anayojiunga.Naamini wewe kama mwana-forum wa siku nyingi unafahamu hilo fika.
Nimeijuaje JF?Labda kabla sijakujibu swali hilo nikuulize wewe uliijuaje kabla hujajiunga.Naamini jibu lako litakuwa sambamba kabisa na langu.
Said Yakub hakufunga blog kutokana na criticism za wasomaji wake bali kutokana na muingiliano wa maslahi ya kitaaluma na mwajiri wake (BBC).Lakini hata kama hiyo isingekuwa sababu,uamuzi wa kuanzisha au kufunga blog ni wa mtu binafsi.
Kuhusu criticism,mie naamini kwamba ninapokosolewa inamaanisha something as opposed to nothing,kwani ni vigumu mtu kukukosoa kama anaamini kuwa anachokikosoa hakina umuhimu.Pengine tunaweza kuafikiana na hawa waungwana hapa chini:
Criticism may not be agreeable, but it is necessary. It fulfils the same function as pain in the human body. It calls attention to an unhealthy state of things.-Winston Churchill
If you have no critics you'll likely have no success.-Malcom X
It is not the critic who counts; not the man who points out how the strong man stumbles, or where the doer of deeds could have done them better. The credit belongs to the man who is actually in the arena, whose face is marred by dust and sweat and blood, who strives valiantly; who errs and comes short again and again; because there is not effort without error and shortcomings; but who does actually strive to do the deed; who knows the great enthusiasm, the great devotion, who spends himself in a worthy cause, who at the best knows in the end the triumph of high achievement and who at the worst, if he fails, at least he fails while daring greatly. So that his place shall never be with those cold and timid souls who know neither victory nor defeat.-Theodore Roosevelt