Kuanzia leo nitakuwa natoa ushauri wa kiafya kwa wenye shida na matatizo mbalimbali ya kiafya kupitia uzi huu kwa kadri ntakavyokuwa napata nafasi. Karibuni sana
Nimepoteza hamu ya chakula kabisa yani. Je tatizo ni nini??
Habar madokta wa jf wote naamini mungu atawalipa kwa msaada wenu!!!
Naomba ushauri kwenu juu ya tatizo la wife!!!!
Mke wangu mpenzi nilimuoa mwaka 2010,june na kwa bahati nzuri alipata mimba jan.2011 akajifungua septmb.2011 salama mapacha wawili. but watoto walipata homa ya nimonia baada ya wiki mbili na kufariki wote kwa kuachana wiki moja! there after hakubeba mimba hadi sept.2014 alipoenda hosptal alifanyiwa vpmo vya utra sound na kuonekana kuwa kuna uchafu uliotokana na bakteria.
Alipewa dawa za kupachika siku tatu mfululizo na ulitoka uchafu kiasi na majimaji mengi kiasi kwa hizo cku 3 sasa tangu period yake ya mwisho zimepita cku 44 na siku ya 34 alipima kwa urine prignancy test ikawa positive bt ana
bleed gently siku ya 3 leo!! je hali hiyo ni yakawaida kwa mamamwenye mimba?????
MSAADA WENU TAFADHALI!!!!
Kuanzia leo nitakuwa natoa ushauri wa kiafya kwa wenye shida na matatizo mbalimbali ya kiafya kupitia uzi huu kwa kadri ntakavyokuwa napata nafasi. Karibuni sana
VIPIMO TU... VIPIMO TU ndo vitathibitisha kama umeathirika au hujaathirika.
Kwa maelezo yako ni kwa kiwango kidogo sana mtu anaweza kupata maambukizi.. hii ni kwasababu mdomo una ngozi laini sana kwa ndani ambayo inaweza pelekea kuwa njia ya virusi kupita hasa kama kuna mchubuko.
Kwa USHAURI.. jaribu kutembelea kituo cha huduma kwa ushauri na vipimo.
Dr. Wansegamila tafadhali itendee haki jamii ya JF na post hii kwa kutoa msaada kama ulivo tarajia.. Natambua majukumu ni Mengi lakini huna budi kuwasaidia watu hawa.