Karibuni wanaohitaji ushauri wa kiafya na maswali kuhusu afya

Karibuni wanaohitaji ushauri wa kiafya na maswali kuhusu afya

Kuanzia leo nitakuwa natoa ushauri wa kiafya kwa wenye shida na matatizo mbalimbali ya kiafya kupitia uzi huu kwa kadri ntakavyokuwa napata nafasi. Karibuni sana

Nimepoteza hamu ya chakula kabisa yani. Je tatizo ni nini??
 
Habar madokta wa jf wote naamini mungu atawalipa kwa msaada wenu!!!
Naomba ushauri kwenu juu ya tatizo la wife!!!!
Mke wangu mpenzi nilimuoa mwaka 2010,june na kwa bahati nzuri alipata mimba jan.2011 akajifungua septmb.2011 salama mapacha wawili. but watoto walipata homa ya nimonia baada ya wiki mbili na kufariki wote kwa kuachana wiki moja! there after hakubeba mimba hadi sept.2014 alipoenda hosptal alifanyiwa vpmo vya utra sound na kuonekana kuwa kuna uchafu uliotokana na bakteria.
Alipewa dawa za kupachika siku tatu mfululizo na ulitoka uchafu kiasi na majimaji mengi kiasi kwa hizo cku 3 sasa tangu period yake ya mwisho zimepita cku 44 na siku ya 34 alipima kwa urine prignancy test ikawa positive bt ana
bleed gently siku ya 3 leo!! je hali hiyo ni yakawaida kwa mamamwenye mimba?????
MSAADA WENU TAFADHALI!!!!
 
pole.. usipate shida sana mkuu.. hiyo hali hutokea kwa wanawake hasa kipindi chicho cha mwanzo cha mimba, sababu kuu ni madiliko ndani ya mji wa mimba.. shem apunguze stress cz znaweza kumharibia ujauzito, asifanye kazi ngumu na apumzike vya kutosha.. chakula bora na maji safi na salama ya kutosha pia avipate.. unaweza fanya tena test kuthibitisha.
 
Nashukuru sana mkuu nafanyia kazi ushsuri wako!!!!! mungu abarki kazi ya mikono yako iwe natija zaidi!!!!
 
Kuanzia leo nitakuwa natoa ushauri wa kiafya kwa wenye shida na matatizo mbalimbali ya kiafya kupitia uzi huu kwa kadri ntakavyokuwa napata nafasi. Karibuni sana

Mida flani hivi moyo unadunda kwa nguvu hadi nikitizama kwenye kioo naona shingoni panacheza, nimepima pressure, sukari ni normal. Stress sina, inaweza kuwa kitugani bwana daktari?
 
VIPIMO TU... VIPIMO TU ndo vitathibitisha kama umeathirika au hujaathirika.

Kwa maelezo yako ni kwa kiwango kidogo sana mtu anaweza kupata maambukizi.. hii ni kwasababu mdomo una ngozi laini sana kwa ndani ambayo inaweza pelekea kuwa njia ya virusi kupita hasa kama kuna mchubuko.

Kwa USHAURI.. jaribu kutembelea kituo cha huduma kwa ushauri na vipimo.

asante doctor kwa ushauri nimeuliza nikimaanisha virusi kupita kwa mate ya mdomoni
 
Dr. Wansegamila tafadhali itendee haki jamii ya JF na post hii kwa kutoa msaada kama ulivo tarajia.. Natambua majukumu ni Mengi lakini huna budi kuwasaidia watu hawa.

Dr. Hivi kuna madhara gani mwanamke akikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi??? Mfano 6 months na kuendelea??

C.c. Dr. Wansegamila
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom