Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Kuanzia leo nitakuwa natoa ushauri wa kiafya kwa wenye shida na matatizo mbalimbali ya kiafya kupitia uzi huu kwa kadri ntakavyokuwa napata nafasi. Karibuni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana kwa swali lako. Its a very broad question, but i will try my best.safi mkuu,
swali:
mimi nina approach 40 yrs, nimekutana na rafiki zangu niliosoma nao na kufanya kazi miaka ya 25-36 kwakweli nimestaajabu baadhi wameanza kuchoka; vitambi, sura inazeeka, wengine pombe sana sura zimeisha, wengine mara waseme miguu imevimba, wengine wanachagua vyakula.(ila sio wote maana ilikuwa msibani). sasa daktari kupitia uzi huu naomba utupe njia ya kuishi ili kwa kula nini na kuishi mfumo upi ili tusizeeke. wenzetu china na western europe wanaishi sana kwanini???
Jina sahihi la ugonjwa unaokusumbua ni KELOIDS.Nina shida ya keroid masikioni na nimekata mara 4 ktk hospt na madkt tofautitofauti ambapo kila m1 alikuwa akiniaidi kuwa yeye atamaliza ila tatizo bado linajirudia. Nimeshaenda k.c.m.c, drk Gullet yupo Ar kwa dkt Mohamed nk. Jee nini dawa yake au maisha yangu yoye itakuwa ni kila mwaka kukata na kurudia baada ya miezi michachee??
Dokta umekimbia..., swali la korodani moja kuuma alilouliza kinyaga linanihusu, nasubiri jibu
je? ninaposhika damu ya mtu alie na virus vya ukimwi nanikiwa sina mchubuko wowote mikononi kwa kujisahau hapo hapo nikanawa kwa sabuni safi na nikajikuna mdomoni naweza kuambukizwa virus vya ukimwi?
Kuna rafikiangu ana tatizo la hethi, alijifungua tar 1/5/2014 na baada ya siku 40 kupita alianza hedhi kawaida imeenda
vizuri tuu, lakini kuanzia mwezi wa kumi mwaka jana ikakta tena na mpaka saizi hajapata hedhi tena, alienda kwa docor
akapima km ana mimba lkn hakuwa nayo lakni doctor hakusema sababu kamili ya hili tatizo, nahitaji msaada wako doctor
nini tatizo
na tiba yake ni ipi, maana mpaka sasa anaogopa asije pata mimba tena na mtoto bado mdogo na uzazi wa mpango hataki maana una madhara mengi sana.
Naomba msaada mana rafiki yangu anadai akiwa bleed anaumwa sana tumbo chini ya kitovu na damu hutoka kdg tena nyepesi je huenda akawa na tatizo
je? ninaposhika damu ya mtu alie na virus vya ukimwi nanikiwa sina mchubuko wowote mikononi kwa kujisahau hapo hapo nikajikuna mdomoni naweza kuambukizwa virus vya ukimwi?