antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mbona ni kama wewe ndo una chuki kubwa kwa dini ya wengine?!!!We jamaa nimeshaku-observe una kachuki ka kijinga dhidi ya dini ya Kiislam...
DINI YENU YA KUDANGANYANA NA KUSHIKANA MATAKO NA MAZIWA MKIWA MNADANGANYA KINA MAMA MNAWATOA MAPEPO NDO DINI AU SIO? πππ
KWELI ZUMBUKUKU ULIMWENGU UPO HUKUπππππΎ
JITU ZIMA LINADANGANYWA NA MAFUTA YA KULA, MAJI NA MICHANGA VITATATUA MATATIZO YAKE... DAHH! NYINYI KUNA TATIZO MAHALI
sasa kama limepigwa marufuku Msri ambako ndio lilianzia, kuna mtanzania wa mbagala anakuja hapa anasema sio la kigaidi. na ajabu yake hata baada ya kupigwa marufuku misri na nchi nyingi za kiarabu, hapa walikuwepo chanel ten na wanaweza kuwa wanaoperate.Muslim brotherhood imepigwa marufuku nchini misri na limeorodheshwa kama kundi la kigaidi lakini hata nchi za magharibi limetajwa kama kundi la kigaidi pia.
Sio poa!Seneta mmoja nchini Ufaransa ametaka aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Real Madrid, Karim Benzema, apokonywe uraia baada ya kutuhumiwa kujihusisha na kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood kutoka nchini Misri.
====
Kufuatia tuhuma za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gerald Darmanin, kuwa Karim Benzema βana uhusianoβ na kundi la kigaidi la Muslim Brotherhood, Seneta wa Ufaransa Valerie Boyer, ameibuka na kutoa kauli tata dhidi ya mshambuliaji huyo wa zamani wa Real Madrid.
Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, Seneta huyo ametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya Benzema, ikiwa tuhuma za kujihusisha na kundi la βMuslim Brotherhoodβ kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani zitathibitishwa.
View attachment 2788293
Kwenye taarifa hiyo, Seneta Boyer alisema, βKama kauli za Waziri wa Mambo ya Ndani ni kweli, lazima Karim Benzema awekewe vikwazoβ.
βKwanza Benzema apokonywe tuzo yake ya Ballon dβOr, lakini pia, ni lazima mchezaji huyo avuliwe uraia wa Ufaransa. Hatuwezi kukubali Mfaransa mwenye uraia pacha, na kujulikana kimataifa, atuvunjie heshima na kuisaliti nchi yake kwa kiasi hiki.β
View attachment 2788294
Mijadala na tuhama hizo imeibuka baada ya Benzema kukaa kimya juu shambulio la kigaidi lililohisisha mauaji ya mwalimu wa Kifaransa nje kidogo ya jiji la Paris, huku siku chache baada ya tukio hilo, mchezaji huyo wa zamani wa Real Madrid akitumia kurasa zake za kijamii, kupelekea salamu za pole na kuomba haki itendeke kwa Taifa la Palestina.
Sns
Tz hakuna usalama wa Taifa mkuu... Acha kudanganya watu.We jamaa nimeshaku-observe una kachuki ka kijinga dhidi ya dini ya Kiislam...
hivi hao Muslim brotherhood waje hapa na wahubiri na wajenge misikiti, huku serikali na wahusika wa haya mambo (USALAMA WA TAIFA) wapo wapi kipindi hicho?!
Acha kuongopea umma kisa tu umejawa na chuki. Huna ujualo kuhusu Uislam, utakapojua utajiona MPUMBAVU SANA!
Wanasema kuna mtume moja aliyemnyonya ulimi mwanaume mwenzie huyo ndie alileta ushoga, sijui unalizungumziaje hilo.mashoga wanataka wabaki peke yao tu hapa duniani ili wafi*ne vizuri
Mimi ndo nadanganya watu?! We una akili sawasawa kweli?!Tz hakuna usalama wa Taifa mkuu... Acha kudanganya watu.
Chuki iko wapi hapo?! Ni chuki au nimeongea ukweli?!Mbona ni kama wewe ndo una chuki kubwa kwa dini ya wengine?!!!
ππ
Chuki iko wapi hapo?! Ni chuki au nimeongea ukweli?!
Hamdanganywi na maji na mafuta?!
Mimi nikachukie uozo huo... PTUUU!
Nani anakumbuka muslim brotherhood wapo na walikuwa na kipindi kabisa chanel ten? wapo hapa bongo tayari na kitambo.
Hili sio la serikali,hili ni la wazalendo walio kwenye vyombo vya usalama.Muslim brotherhood hata Dar es salaam wapo na walikuwa na kipindi chanel ten, waarabu fulani toka misri hata kiswahili hawajui. kama wanasambaza dini wasambaze kwa mujibu wa sheria na kwa amani ila wasitengeneza magaidi tafadhali. serikali watupieni jicho.
Na unakumbuka kipindi kile walipofika tu tukaanza kusikia hata watoto wadogo wanatekwa kilimanjaro kwenda kufundishwa ugaidi na wengine kupelekwa somalia. Mnakumbuka?
Wakati wa JK walijiimarisha sana hakuna aliyewachukulia hatua,wakaanza kukinukisha wakati wa Magufuli.Magu akawadhibiti kule Kibiti wakatawanyika wengine wakaenda Msumbiji.We jamaa nimeshaku-observe una kachuki ka kijinga dhidi ya dini ya Kiislam...
hivi hao Muslim brotherhood waje hapa na wahubiri na wajenge misikiti, huku serikali na wahusika wa haya mambo (USALAMA WA TAIFA) wapo wapi kipindi hicho?!
Acha kuongopea umma kisa tu umejawa na chuki. Huna ujualo kuhusu Uislam, utakapojua utajiona MPUMBAVU SANA!
Acha ujinga ,usalama wapo tena ni moja ya Idara yenye uwezo mkubwa kwenye huu ukanda wa Afrika .Tz hakuna usalama wa Taifa mkuu... Acha kudanganya watu.
Usiwe hivyo mkuu,Benzama kwa kumuangalia tu ni gaidi
Wapo na wana network nzuri sana.Tz hakuna usalama wa Taifa mkuu... Acha kudanganya watu.
Usalama wapo kusimamia masilahi ya viongozi na sisiem wala sio masilahi ya Taifa.Wapo na wana network nzuri sana.
Wanafanya vizuri.
Aisee..Bila ndo waliojenga misikiti pale igunga. Misikiti mizuri mizuri hata baadhi ya mikoa haina