Karim Benzema ahusishwa na kikundi cha kigaidi

Karim Benzema ahusishwa na kikundi cha kigaidi

Huna akili wewe! Umejawa na chuki tu... Dini yenu ya kudanganyana na kushikana matako na maziwa mkiwa mnadanganya kina mama mnawatoa mapepo ndo dini au sio? 😀😀😀

Kweli zumbukuku ulimwengu upo huku😂😂😂🙌🏾

Jitu zima linadanganywa na mafuta ya kula, maji na michanga vitatatua matatizo yake... Dahh! Nyinyi kuna tatizo mahali
Huko Pakistan, Afghanistan, na Somalia kinachosababisha wauwane wenyewe kwa wenyeweni dini na wanalipuana mpaka misikitini

Hauhitaji ufahamu mkubwa kuielewa hiyo dini kwamba ina mafundisho ya hatari

Hapa Tanzania kama siyo serikali kukomaa kule kule Kibiti kwa sasa kungekuwa Somalia ndogo.
 
Wakati wa JK walijiimarisha sana hakuna aliyewachukulia hatua,wakaanza kukinukisha wakati wa Magufuli.Magu akawadhibiti kule Kibiti wakatawanyika wengine wakaenda Msumbiji.

Wakati wa mama wanajiimarisha kimya kimya.Watakuja kuibuka wakati ambapo hatuwezi kuwadhibiti.
Hii nchi haiwezi kushindwa kuwadhibiti hao WAPUMBAVU mnaowahofia... hii nchi ina Viumbe mafia asikwambie mtu!... tusemwe kwa mengine ila sio huko.

Wacha kabisa! 😳😳😳
 
jina linamaanisha udugu wa kiislam ila behind wana agenda ya ugaidi na mataifa ya magharibi yalishawaweka kwenye fungu la magaidi kwasababu walishafanya ugaidi misri na maeneo mengine duniani.

wagalatia bana muna vituko sana
 
wagalatia bana muna vituko sana
sasa wewe gaidi, misri wenyewe ambako ndiko ilianzia wamelipiga marufuku na kulitaja kama kundi la kigaudi, mataifa mengi ya kiarabu yanasema ni magaidi, halafu wewe wa manzese unakuja kubisha, utakuwa na akili timamu kweli?
 
acha chuki ndugu
 
We jamaa nimeshaku-observe una kachuki ka kijinga dhidi ya dini ya Kiislam...

hivi hao Muslim brotherhood waje hapa na wahubiri na wajenge misikiti, huku serikali na wahusika wa haya mambo (USALAMA WA TAIFA) wapo wapi kipindi hicho?!

Acha kuongopea umma kisa tu umejawa na chuki. Huna ujualo kuhusu Uislam, utakapojua utajiona MPUMBAVU SANA!
Kwani wakati bandari inauzwa usalama wa taifa walikuwa mgambo au trafiki?? Tuanzie hapo wewe na hao usalama wako
 
Kwani wakati bandari inauzwa usalama wa taifa walikuwa mgambo au trafiki?? Tuanzie hapo wewe na hao usalama wako
Wewe una ushahidi gani bandari imeuzwa?!

Wakikuchukua na kukufikisha kwenye vyombo vya sheria wakakupa option rahisi kabisa kwamba "tupe evidence kwamba bandari imeuzwa, tukihakiki na kama ni sahihi basi umeshinda tutakuacha uende zako na tutakulipa kwa usumbufu"

Una ushahidi huo we MPUMBAVU?!
 
Braza hili ni jukwaa huru nina haki ya kutoa maoni bila matusi wala lugha za vitisho ........MPUMBAVU NI BABA NA MAMA YAKO ..........WEWE KAMA NI NANI AU NANI PELEKA HUKO HUKO KWENYE MNAKO KUTANA NA LEO BAHATI YAKO SINA MOOD YA MATUSI ILA NINGEPIGWA BAN KWA AJILI YAKO KUKU MED WEWE
 
HUNA AKILI WEWE... TOA USHAHIDI UNAKURUPUKA KUSEMA UMETUKANWA...

GOOGLE MAANA YA MPUMBAVU UTAJIJUA KWAMBA NENO LINAKUHUSU WEWE... ALAFU BABA YANGU NA MAMA YANGU HAWAKUWA WAPUMBAVU. WALIJUA MAJUKUMU NA LENGO LA KULETWA KWAO DUNIANI..., NDO MAANA KIJANA WAO LEO HII NAWATENDEA HAKI WAJUKUU ZAO LEO HAWALALAMIKI.

TENGENEZA MAISHA UACHE UPUMBAVU! KAMA UNATAKA MATUSI HAPA NDO KWAO... WEWE TU 😊🖕🏾
 
Acha ujinga ,usalama wapo tena ni moja ya Idara yenye uwezo mkubwa kwenye huu ukanda wa Afrika .

Majasusi wa hapa achana nao kabisa kama unabisha we bisha tu.
We ni msengelema Nini?, Usalama wa Taifa wanashindwa kutambua matukio Kama ya kupigwa risasi kwa Tl?.
 
HUNA AKILI WEWE... TOA USHAHIDI UNAKURUPUKA KUSEMA UMETUKANWA...

GOOGLE MAANA YA MPUMBAVU UTAJIJUA KWAMBA NENO LINAKUHUSU WEWE... ALAFU BABA YANGU NA MAMA YANGU HAWAKUWA WAPUMBAVU. WALIJUA MAJUKUMU NA LENGO LA KULETWA KWAO DUNIANI..., NDO MAANA KIJANA WAO LEO HII NAWATENDEA HAKI WAJUKUU ZAO LEO HAWALALAMIKI.

TENGENEZA MAISHA UACHE UPUMBAVU! KAMA UNATAKA MATUSI HAPA NDO KWAO... WEWE TU 😊🖕🏾
KATOOOOOOOOOOOOMBWE HUKO
 
Seneta mmoja nchini Ufaransa ametaka aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Real Madrid, Karim Benzema, apokonywe uraia baada ya kutuhumiwa kujihusisha na kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood kutoka nchini Misri.

====

Kufuatia tuhuma za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gerald Darmanin, kuwa Karim Benzema “ana uhusiano” na kundi la kigaidi la Muslim Brotherhood, Seneta wa Ufaransa Valerie Boyer, ameibuka na kutoa kauli tata dhidi ya mshambuliaji huyo wa zamani wa Real Madrid.

Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, Seneta huyo ametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya Benzema, ikiwa tuhuma za kujihusisha na kundi la “Muslim Brotherhood” kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani zitathibitishwa.

View attachment 2788293

Kwenye taarifa hiyo, Seneta Boyer alisema, “Kama kauli za Waziri wa Mambo ya Ndani ni kweli, lazima Karim Benzema awekewe vikwazo”.

“Kwanza Benzema apokonywe tuzo yake ya Ballon d’Or, lakini pia, ni lazima mchezaji huyo avuliwe uraia wa Ufaransa. Hatuwezi kukubali Mfaransa mwenye uraia pacha, na kujulikana kimataifa, atuvunjie heshima na kuisaliti nchi yake kwa kiasi hiki.”

View attachment 2788294
Mijadala na tuhama hizo imeibuka baada ya Benzema kukaa kimya juu shambulio la kigaidi lililohisisha mauaji ya mwalimu wa Kifaransa nje kidogo ya jiji la Paris, huku siku chache baada ya tukio hilo, mchezaji huyo wa zamani wa Real Madrid akitumia kurasa zake za kijamii, kupelekea salamu za pole na kuomba haki itendeke kwa Taifa la Palestina.

Sns
Ni Mwarab sishangai
 
Na muslim brotherhood hapa Tanzania walishakuja, wana washirika kibao, wana misikiti, kuna kipindi walikuwa wanatoa mawaidha chanel ten.

Ndio maana hata hapa Tanzania magaidi wameshatengenezwa sana. shida ni ili kuja kutulazimisha tuwe waislam baada ya kupindua nchi na viongozi wetu kwasababu ya uislam hawalichukulii maanani kwasababu wao ni waislam tayari.
Hakuna muislamu ambaye analazimisha kafiri kama wewe kuwa muislamu. Ni ushamba wako na chuki dhidi uislamu tu ndiyo inakufanya uone unalazimishwa uingie kwenye uislamu
 
Hakuna muislamu ambaye analazimisha kafiri kama wewe kuwa muislamu. Ni ushamba wako na chuki dhidi uislamu tu ndiyo inakufanya uone unalazimishwa uingie kwenye uislamu
mimi sina chuki ndugu, nilikuwa nasema, hata wamisri ambao muslim brotherhood walianzia, wamewapiga marufuku na kuwaweka kwenye kundi la magaidi, hawaruhusiwi Misri, wewe wa mbagala ni nani sasa ubishe?
 
KATOOOOOOOOOOOOMBWE HUKO
Kamuone counsellor wa magonjwa ya akili na mifadhaiko inayotokana na uhaba wa ajira au ukosefu wa akili pana za maisha za kubuni namna ya kujikwamua maishani kutokana na kucheza na fursa au kutokuziona kutokana na kucheza shule.

POLE WE!
 
Back
Top Bottom