Karim Benzema vs Oliver Giroud

Karim Benzema vs Oliver Giroud

Trebla84

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
510
Reaction score
637
Ukiangalia uwezo wa Oliver Giroud na uwezo wa Karim Benzema, yupi anastahili kuitwa kuichezea Timu ya Taifa ya Ufaransa?
 
Ukiangalia uwezo wa Oliver Giroud na uwezo wa Karim Benzema, Yupi anastahili kuitwa kuichezea Timu ya Taifa ya ufaransa?
Benzema. Ila Benzema hana nidhamu ndo maana haitwi tena team ya taifa. Benzema alim-blackmail mchezaji mwenzake kwa mkanda wa ngono.

Benzema alitaka alipwe pesa ili asivujishe mkanda wa ngono wa mchezaji mwenzake wa France national team.
 
Tutaaminije maneno yako?
 
Benzema. Ila Benzema hana nidhamu ndo maana haitwi tena team ya taifa. Benzema alim-blackmail mchezaji mwenzake kwa mkanda wa ngono.

Benzema alitaka alipwe pesa ili asivujishe mkanda wa ngono wa mchezaji mwenzake wa France national team.
Ni kweli mana tokea alivaa jezi ya ufaransa mwaka 2015 hajachezea tena,,,Wiki iliyopita kocha alimwambia asahau hatachezea tena timu ya taifa. Jana Benzema kaomba apewe ruhusa ya kuchezea nchi nyingine ili wajue kuwa bado anakipaji.
 
Unakumbuka ya John Terry na Wayne bridge,, lakini bado Terry aliendelea kuchezea timu ya taifa.
 
FIFA inazuia mtu kama ulishacheza mechi official kwa taifa moja,huwezi chezea taifa jingine. Benzema imekula kwake. Kwanza hana nidhamu angekuwa mwingine wala asingejibidhana kwenye twitter. Angekuwa ana nidhamu angeandika barua Kwa French football Org na kuomba msamaha. Angetafuta kuwasiliana na kocha na kuomba msamaha,angeliomba taifa msamaha. Tatizo analeta kibri cha uarabu wa North Africa.
 
Terry itakuwa ana nidhamu aliomba msamaha. Tatizo Benzema kibri na hana nidhamu. Kwanza hata kuimba wimbo wa taifa alikuwa hataki,pia aliwahi kusema yeye anapenda Algeria,France ni taifa lake kimchezo tu.
 
Wachezaji wengi wa ufaransa wenye asili ya Algeria uwa wanakuwa na kibri si una mkumbuka Samir Nasri akiwa katika ubora wake naye akuitwa timu ya taifa.
 
FIFA inazuia mtu kama ulishacheza mechi official kwa taifa moja,huwezi chezea taifa jingine. Benzema imekula kwake. Kwanza hana nidhamu angekuwa mwingine wala asingejibidhana kwenye twitter. Angekuwa ana nidhamu angeandika barua Kwa French football Org na kuomba msamaha. Angetafuta kuwasiliana na kocha na kuomba msamaha,angeliomba taifa msamaha. Tatizo analeta kibri cha uarabu wa North Africa.
Ila nakumbuka pia alikuwa na kesi ya kutembea na msichana aliye under age, hiyo kesi pia alikuwepo Frank Ribery ndo maana hata Ribery nae alipigwa chini muda mrefu
 
FIFA inazuia mtu kama ulishacheza mechi official kwa taifa moja,huwezi chezea taifa jingine. Benzema imekula kwake. Kwanza hana nidhamu angekuwa mwingine wala asingejibidhana kwenye twitter. Angekuwa ana nidhamu angeandika barua Kwa French football Org na kuomba msamaha. Angetafuta kuwasiliana na kocha na kuomba msamaha,angeliomba taifa msamaha. Tatizo analeta kibri cha uarabu wa North Africa.

Diego Costa alishachezea Brazil national team baadae akahamia Spain.
Do research mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom