Karim Boimanda: Kuna baadhi ya taarifa muhimu na nyeti zitatolewa muda wowote kuanzia sasa

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Kuna baadhi ya taarifa muhimu na nyeti zitatolewa muda wowote kuanzia sasa”

Bodi ya Ligi imesema inaendelea vizuri na maandalizi ya mchezo wa Kariakoo Derby kati ay Yanga vs Simba uliopangwa kupigwa Juni 15, 2025.

Huyu hapa afisa habari wa bodi hiyo, Karim Boimanda ambaye ametoa uhakika pia kuhusu viwanja vitakavyotumika kwa michezo ya raundi mbili za mwisho ambazo zitachezwa muda mmoja kila raundi.

Hakuna cha habari nyeti wala nini Simba wameshajua kabisa bodi wanataka kuahirisha tena mechi na ndio maana wakatoa ile taarifa kwa uma mapema jioni ya leo
 
TFF hata wao wanajua kuahirisha mechi tena ni hatari zaidi kuliko hiki wanachokiona.

Kiufupi ni kwamba hiki kinachoendelea mpaka sasa ni nusu shari. Shari kamili ni pale TFF wataposema wanahairisha mechi tena.
 
Kuna baadhi ya taarifa muhimu na nyeti zitatolewa muda wowote kuanzia sasa”

Bodi ya Ligi imesema inaendelea vizuri na maandalizi ya mchezo wa Kariakoo Derby kati ay Yanga vs Simba uliopangwa kupigwa Juni 15, 2025.

Huyu hapa afisa habari wa bodi hiyo, Karim Boimanda ambaye ametoa uhakika pia kuhusu viwanja vitakavyotumika kwa michezo ya raundi mbili za mwisho ambazo zitachezwa muda mmoja kila raundi.

Baaasi derby iko pale pale. Viingilio vinaenda kutangazwa, waamuzi wanaenda kutangazwa na taratibu zingine. Twendeni kazini.

Hao wengine waacheni waendelee kutapatapa, sijui TAKUKURU sijui TRA sijui Jeshi gani. Wanadhani peke yao ndiyo wana watu huko kwenye idara nyeti?
 
Hakuna cha habari nyeti wala nini Simba wameshajua kabisa bodi wanataka kuahirisha tena mechi na ndio maana wakatoa ile taarifa kwa uma mapema jioni ya leo
Nafkiri upo sahihi maana nilijiuliza Kwa Nini Simba anatoa barua ya kusisitiza kwamba hatacheza Tena mchezo mwingine tofauti na mchezo Wa tarehe 15 na wakati muda Wa mechi haujafika? Inawezekana alishapata taarifa kua mchezo unasogezwa mbele
 
Back
Top Bottom