Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Hii imeenda, japo kinyonge Sana Mwanetu Mandonga😄😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah huyu mandonga watakuja wamuue kwakweli😅😅😅😅😅Ngumi yake mpya imeshindwa kufua dafu Kenya😂😅 Mandonga kupigwa ndio umaarufu wake.
Mandonga haishi utamu,japo la usalama wake ni kweli,huwezi pigana Mara mbili kwa wikiYaani kapigana tareh 23 kisha 29 anakuja pigana tena hawa mapromota hawamtakii mema huyu jamaa.
Nae ajiangalie atatumika kisha utamu ukiisha anatemwa hana kitu
😅😅Yaani kapigana tareh 23 kisha 29 anakuja pigana tena hawa mapromota hawamtakii mema huyu jamaa.
Nae ajiangalie atatumika kisha utamu ukiisha anatemwa hana kitu
Kila jambo lina ujio,Mandonga haishi utamu,japo la usalama wake ni kweli,huwezi pigana Mara mbili kwa wiki
Nani alimwambia aende huyu atakuja kufia ulingoni huyuMandonga kashapigwa mapema tu[emoji1787][emoji1787]
Huyu jamaa anachekesha kweli..yani mapema tu kala knockout [emoji1787][emoji1787]. Nahisi wanamtumia kukusanya viingilio vyetuKwishaaaa[emoji38][emoji38][emoji38]
Huyu babu alee watoto saivNani alimwambia aende huyu atakuja kufia ulingoni huyu
[emoji1787][emoji1787]amedundwa halafu anatuletea uchizi anachezacheza. Yani huyu jamaa anapigana kupata pensheni[emoji38][emoji38][emoji38]
Yeye na ndukube kwishaaa
Amesema atazindua ngumi yake mpya