Karim Mandonga apigwa Kenya

Alipoenda Kenya kipindi kile wajanja wakamtumia kupiga hela saivi kapeleka mazoea kalambishwa sakafu.
 
Mandonga haishi utamu,japo la usalama wake ni kweli,huwezi pigana Mara mbili kwa wiki
Kila jambo lina ujio,
1. Kuja
2. Kuondoka.

Asijidanganye atakuwa hivyo daima,Ataisha utamu tu.
Wajanja ni wale waliomake wakati wapo kwenye peak pesa zinaluja pasina kujua zinapotokea, kisha wanazitumia vizuri kipindi cha kubaki jina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ