The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kuumaintain umaarufu ni very expensive mkuu,Kibongo bongo, watu wanaopata umaarufu wa ghafla huwa kwenye peak kwa miezi kama 6 tu, baada ya hapo umaarufu hupotea...wako wapi sasa watu kama Pierre, Uchebe, Chikumbalaga aka Sukari yao, yule dogo wa Irudiweee...
alitoka Mwananyamala kwa mama ZakariaUchebe
HahahahaAhakikishe kadi ina jina lake
Umaarufu wa Kareem ni wa kufanya kazi tofauti na haoKibongo bongo, watu wanaopata umaarufu wa ghafla huwa kwenye peak kwa miezi kama 6 tu, baada ya hapo umaarufu hupotea...wako wapi sasa watu kama Pierre, Uchebe, Chikumbalaga aka Sukari yao, yule dogo wa Irudiweee...
Umaarufu wa Kareem ni wa kufanya kazi tofauti na hao
Amepewa Subaru Impreza tenaAhakikishe kadi ina jina lake
Impreza [emoji1] [emoji1787]Hiyo Nadia sio?
Mbona ndio gari zinazouzwa hapa bongoHata angepewa range rover iliyotoka 20 years ago ni upumbavu. Next time usiwe kama ling’ombe. Ishu sio brand wala model ya gari. Ishu ni for how long that car has been in use. Usitumie kichwa kama mfuko wa kubebea meno pekee.
... eti mimi na masters yangu! Masters? What is it for? Tupunguze kujikweza.Mimi na masters yangu natembelea Boxer BM 150 kweli mungu sio juma nyosso🤣
Hahaha kameze vipande vya chupa... eti mimi na masters yangu! Masters? What is it for? Tupunguze kujikweza.
Ila kwa uhalisia siyo yake na hutamuona akiiendeshaAmepewa Subaru Impreza tena
Jamaa naona ana nyota ya magari [emoji1] [emoji1787]
KumbeIla kwa uhalisia siyo yake na hutamuona akiiendesha