The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kuumaintain umaarufu ni very expensive mkuu,Kibongo bongo, watu wanaopata umaarufu wa ghafla huwa kwenye peak kwa miezi kama 6 tu, baada ya hapo umaarufu hupotea...wako wapi sasa watu kama Pierre, Uchebe, Chikumbalaga aka Sukari yao, yule dogo wa Irudiweee...
Umaarufu wa watu kama Pierre liquid,Dr Shika na wengine hua ni umaarufu usio na mizizi imara na ndio maana hupotea kama harufu tu.