Karim Rehmtullah anayemjua

Karim Rehmtullah anayemjua

Prof Griff

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
6,772
Reaction score
5,258
Karim Rehmtullah nilisoma naye Shaaban Robert Secondary mwaka 1984 hadi 1987. Alikuwa rafiki yangu sana. Tumepotezana tokea tumemaliza O-level. Bibi yake ndiyo alikuwa anamiliki ghorofa fulani Uhuru Street linaitwa “Mary Martis”. Naomba kwa wanaomjua wanitonye mshikaji yupo wapi. Asanteni.
 
Ngoja waje kukusaidia utampata tu mkuu.

Pia,

Ungejaribu kutumia social media nyinginezo kama facebook na instagram ku-search huenda ungempata.
 
Mtafute Ally Rehmtullah atakupa in4 kuhusu huyo mzee.
 
Ngoja watoto wa mjini wa enzi hizo waje ila ushaambiwa mtafute Mwanamitindo Ally Remtullah.
 
Karim Rehmtullah nilisoma naye Shaaban Robert Secondary mwaka 1984 hadi 1987. Alikuwa rafiki yangu sana. Tumepotezana tokea tumemaliza O-level. Bibi yake ndiyo alikuwa anamiliki ghorofa fulani Uhuru Street linaitwa “Mary Martis”. Naomba kwa wanaomjua wanitonye mshikaji yupo wapi. Asanteni.
Huyo mtafute USA au UK
 
Back
Top Bottom