MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Wanasimbaaaaa,
Kweli kupoteza ubingwa last year na msimu huu kupoteza game muhimu za ndani zinatuwehua sana lakini kuna values lazima tuzilinde.
Timu yetu imefanya vizuri zaidi ya misimu 4 ndani na nje ya Taifa letu ikiwa na wachezaji wengi waliokwishaondoka na baadhi bado wapo kikosini.
Tusidanganyane ingewezekana kufanya total overhaul ya kikosi kizima lazima baadhi watabaki huku damu mpya zikiongezwa.
Tukiangalia kwa wachezaji wa ndani ubora wa wachezaji wengi waliobaki hawana mbadala kuanzia uzoefu na uwezo pia. Pamoja na Nyoni, Boko kuchoka lakini kwa wachezaji wetu wa ndani bado ni bora kuliko vijana wengi wanaochipukia! Mtu kama John Boko ame prove hivyo hadi last seasons pamoja na majeraha.
Kwa mantiki hiyo, tuwape heshima hawa wachezaji waliotupa furaha muda mrefu! Hivi Israel Mwenda, Kyombo, Kapama wanajisikiaje hatma zao baadae wakiona matusi na maneno makali kwa Legends hao waliotupa kila kitu?
Ile game ya Jana hata kama angecheza Kapombe na Nyoni asicheze kabisa tusingechomoka! Timu ilikuwa na matatizo mengine ya kiufundi sio mchezaji kama Nyoni.
Washabiki wa Simba tunapaniki kupitiliza na kuvunja heshima za wachezaji wetu wakongwe! Kufungwa kuna uma na pressure kwa wachezaji ni muhimu lakini sio kejeli na matusi personal yanayoendelea mitandaoni.
Tujifunze tukio la kocha wa Man U na Ronaldo, mashabiki walisimama na Ronaldo si sababu hakukosa nidhamu, au ana perform sana hivi sasa, bali heshima ya Ronaldo kwa aliyoifanyia Man U na Soka!
Erasto Nyoni amelipa Taifa hili heshima mara kadhaa achilia mbali Simba! Tuache kumdhalilisha kwa matusi! Ushabiki wa kizamani sana! Kama mashabiki wa mpira hamtaki kufungwa msishabikie mpira! It's impossible! PERIOD!