Karipio: Mashabiki wa Simba maumivu yasitupofue

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wanasimbaaaaa,

Kweli kupoteza ubingwa last year na msimu huu kupoteza game muhimu za ndani zinatuwehua sana lakini kuna values lazima tuzilinde.

Timu yetu imefanya vizuri zaidi ya misimu 4 ndani na nje ya Taifa letu ikiwa na wachezaji wengi waliokwishaondoka na baadhi bado wapo kikosini.

Tusidanganyane ingewezekana kufanya total overhaul ya kikosi kizima lazima baadhi watabaki huku damu mpya zikiongezwa.

Tukiangalia kwa wachezaji wa ndani ubora wa wachezaji wengi waliobaki hawana mbadala kuanzia uzoefu na uwezo pia. Pamoja na Nyoni, Boko kuchoka lakini kwa wachezaji wetu wa ndani bado ni bora kuliko vijana wengi wanaochipukia! Mtu kama John Boko ame prove hivyo hadi last seasons pamoja na majeraha.

Kwa mantiki hiyo, tuwape heshima hawa wachezaji waliotupa furaha muda mrefu! Hivi Israel Mwenda, Kyombo, Kapama wanajisikiaje hatma zao baadae wakiona matusi na maneno makali kwa Legends hao waliotupa kila kitu?

Ile game ya Jana hata kama angecheza Kapombe na Nyoni asicheze kabisa tusingechomoka! Timu ilikuwa na matatizo mengine ya kiufundi sio mchezaji kama Nyoni.

Washabiki wa Simba tunapaniki kupitiliza na kuvunja heshima za wachezaji wetu wakongwe! Kufungwa kuna uma na pressure kwa wachezaji ni muhimu lakini sio kejeli na matusi personal yanayoendelea mitandaoni.

Tujifunze tukio la kocha wa Man U na Ronaldo, mashabiki walisimama na Ronaldo si sababu hakukosa nidhamu, au ana perform sana hivi sasa, bali heshima ya Ronaldo kwa aliyoifanyia Man U na Soka!

Erasto Nyoni amelipa Taifa hili heshima mara kadhaa achilia mbali Simba! Tuache kumdhalilisha kwa matusi! Ushabiki wa kizamani sana! Kama mashabiki wa mpira hamtaki kufungwa msishabikie mpira! It's impossible! PERIOD!
 
Kama wapo mashabiki wanodhani SIMBA HAITAFUNGWA WAACHE KUSHANGILIA MPIRA WAANGALIE FILAMU
Tunajidanganya na unbeaten ya Uto ambayo sio guaranteed msimu huu pia. Sisi tu focus kwenye malengo ya timu! Kuna msimu Yanga alimaliza akiwa kapoteza game chache kuliko Simba lakini sare zikammaliza tukatwaa ubingwa.

Game kama ya Jana sio ya kulalama maneno yote kama tumekosa ubingwa! Tena game ya Yanga ilikuwa nyepesi kuliko jana kiufundi. Ni mpira tu
 
Kuna bahati, na kuna rushwa. Yanga kuna mechi inanunua hilo nina hakika nalo
wanachokifanya yanga ndo hichohicho wanafanya simba usijitoe ufahamu kwa mahaba yako
kama kununua mechi timu zote zinanunua ila kuna kuzidiana
mbona karia anawasaidia simba kupiga kabari husemi?
 
Sisi tupo matured tunajua kuna kufungwa ndio maana kila game moja ni muhimu kwetu shida ipo kwenu mikia mechi moja tu hamtaki bench lote a ufundi kelele kibao
Hapa futa kauli ni vile nabi hajafungwa kwenye ligi hii ,juz tu katolewa na warabu koko kidogo atimuliwe ila wamempa muda .
Najua kwa wa Tunisia hamtoboi na huo ndio mwisho wa nabi.
Na kesho muombe sana mshinde ingawa Nina uhakika kesho mnashinda maana mnaenda kukutana na minziro mwenye damu ya utopolo.Niamin mm mkitolewa na club Africaine mtaongea yote hapa na ntakukumbusha .
Mpira upo hivyo so tusichekane ni vile saiz unaogelea kwenye kivul cha unbeaten ngoja siku yawakute utaona mtakavyoropoka kila aina ya maneno na kusahau mazuri yote ya nabi
 
Wanasimbaaaaa,

Kweli kupoteza ubingwa last year na msimu huu kupoteza game muhimu za ndani zinatuwehua sana lakini kuna values lazima tuzilinde.

Timu yetu imefanya vizuri zaidi ya misimu 4 ndani na nje ya Taifa letu ikiwa na wachezaji wengi waliokwishaondoka na baadhi bado wapo kikosini.

Tusidanganyane ingewezekana kufanya total overhaul ya kikosi kizima lazima baadhi watabaki huku damu mpya zikiongezwa.

Tukiangalia kwa wachezaji wa ndani ubora wa wachezaji wengi waliobaki hawana mbadala kuanzia uzoefu na uwezo pia. Pamoja na Nyoni, Boko kuchoka lakini kwa wachezaji wetu wa ndani bado ni bora kuliko vijana wengi wanaochipukia! Mtu kama John Boko ame prove hivyo hadi last seasons pamoja na majeraha.

Kwa mantiki hiyo, tuwape heshima hawa wachezaji waliotupa furaha muda mrefu! Hivi Israel Mwenda, Kyombo, Kapama wanajisikiaje hatma zao baadae wakiona matusi na maneno makali kwa Legends hao waliotupa kila kitu?

Ile game ya Jana hata kama angecheza Kapombe na Nyoni asicheze kabisa tusingechomoka! Timu ilikuwa na matatizo mengine ya kiufundi sio mchezaji kama Nyoni.

Washabiki wa Simba tunapaniki kupitiliza na kuvunja heshima za wachezaji wetu wakongwe! Kufungwa kuna uma na pressure kwa wachezaji ni muhimu lakini sio kejeli na matusi personal yanayoendelea mitandaoni.

Tujifunze tukio la kocha wa Man U na Ronaldo, mashabiki walisimama na Ronaldo si sababu hakukosa nidhamu, au ana perform sana hivi sasa, bali heshima ya Ronaldo kwa aliyoifanyia Man U na Soka!

Erasto Nyoni amelipa Taifa hili heshima mara kadhaa achilia mbali Simba! Tuache kumdhalilisha kwa matusi! Ushabiki wa kizamani sana! Kama mashabiki wa mpira hamtaki kufungwa msishabikie mpira! It's impossible! PERIOD!
Makolo yanakanyagana kama mgambo. Mzungu aliona mbali akajitenga na mambo ya ulozi wa kuchanjana naniliu katika soka.
 
Hapa futa kauli ni vile nabi hajafungwa kwenye ligi hii ,juz tu katolewa na warabu koko kidogo atimuliwe ila wamempa muda .
Najua kwa wa Tunisia hamtoboi na huo ndio mwisho wa nabi.
Na kesho muombe sana mshinde ingawa Nina uhakika kesho mnashinda maana mnaenda kukutana na minziro mwenye damu ya utopolo.Niamin mm mkitolewa na club Africaine mtaongea yote hapa na ntakukumbusha .
Mpira upo hivyo so tusichekane ni vile saiz unaogelea kwenye kivul cha unbeaten ngoja siku yawakute utaona mtakavyoropoka kila aina ya maneno na kusahau mazuri yote ya nabi
Kwahio Mgunda ana damu ya Azam jana kafungisha? hua hamkosi maneno
 
Back
Top Bottom