Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,322
- 10,177
ACTHuyo Shingo Bakari ni chama gani?Jamani andikeni kwa undani kidogo, sio wote wanaukonga,
Kura feki na kititaSilaa amekutwa na kipi Jane Msowoya ?
Ni vizuri ukafafanua dada Jane Msowoya si kila mtu anakupata!Kura feki na kitita
Watanzania tuishi humu.Jamani hili suala la mauaji ni la kupeleka ICC tusiliongelee kirahisi. Ushahidi wote upo.
OkayNi msemo wa Kiingereza unaotumika kwa njia isiyo rasmi (slang).
Maana yake ni kwamba matendo mabaya ya mtu yatamrudia mwenyewe kwa namna mbaya yaani mtu akifanya ubaya kwa wengine, siku moja ataonja matokeo yake.
Msemo huu umefanya kazi nzuri sana kwa Jerry Silaa
Pamoja na kuiba kote kura Bado Wana Ukonga wakasema tunaenda na Shingo uliyemtesa kwa miaka mingi sana
Hatimae tarehe 30 Jerry akasweka ndani kwa kukutwa na kitita Cha pesa na kura feki alizozileta ziongezwe baada ya kuambiwa kura haijatosha na Wana Ukonga wakaamua kumpa kura za ndio Shingo Bakari
View attachment 3496755
View attachment 3496756
TLS watoe muongozo,Jamani hili suala la mauaji ni la kupeleka ICC tusiliongelee kirahisi. Ushahidi wote upo.
RightHakukuwa na uchaguzi sehemu yoyote Tanzania zaidi ya wahuni na wauaji kugawana madaraka kama peremende.
Hao wote ni ukoo mmoja, CHAUMA wameshinda wapi?Mnamaanisha jimbo la Ukonga limechukuliwa na ACT na Jerry Slaa ametupwa nje?