Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Muliro, maza na Wambura wakamatweTLS watoe muongozo,
Mwabukusi
Muliro, maza na Wambura wakamatweTLS watoe muongozo,
Mwabukusi
ICC imewahi kumfunga mtawala gani? yale ni maigizo tupuJamani hili suala la mauaji ni la kupeleka ICC tusiliongelee kirahisi. Ushahidi wote upo.
Hivi rais wa zamani Rodrigo Duterte anaweza kupona kweli?ICC imewahi kumfunga mtawala gani? yale ni maigizo tupu
Hajashinda mtu yeyote maana hakukuwa na uchaguzi. Huyo wa ACT kapewa tu jimbo kwa mujibubwa makubaliano.Mnamaanisha jimbo la Ukonga limechukuliwa na ACT na Jerry Slaa ametupwa nje?
Hao wote ni ukoo mmoja, CHAUMA wameshinda wapi?
Ndugu haoSegerea
Mwabukusi anaongea utopolo wa kutaka maridhiano. Huyu baba tangu alipoenda ikulu akarukwa na akili.TLS watoe muongozo,
Mwabukusi
Isije ikawa mercenaries wamepita na Ponjoro wetu wa Kinondoni ohoo!Tarimba kimemkuta nini?? Naona wanamposti sana
Duterte?ICC imewahi kumfunga mtawala gani? yale ni maigizo tupu
Mku sina kumbukumbu, wakina Museven, Kagame na huyu bibi yetu walivyo makatili hivi hii mahakama siengeshawafunga!Duterte?
Au hakufungwa yule muuwaji
Huwa haina meno hiyo mahakamaMku sina kumbukumbu, wakina Museven, Kagame na huyu bibi yetu walivyo makatili hivi hii mahakama siengeshawafunga!
Waja wanasema mengi hukoo mtandaoniIsije ikawa mercenaries wamepita na Ponjoro wetu wa Kinondoni ohoo!
Segerea
Ni kweli hadi funza bashiti eti kashinda!!!Hakukuwa na uchaguzi sehemu yoyote Tanzania zaidi ya wahuni na wauaji kugawana madaraka kama peremende.