"KARMA IS ALIVE" Najiskia hukumu

"KARMA IS ALIVE" Najiskia hukumu

Najua ulimlia mademu zake wakati wewe ukiwa vzr au kwakuwa ulionekana kupendeza kuliko jamaa yako au kifamilia ulionekana kidogo umetoka Familia yenye unafuu kuliko jamaa. Ila kwasasa unaonekana kujutia kwasababu unaonekana jamaa amekuzidi chapaa ila naamini kabisa laiti kama wewe ungekuwa vizuri kuliko jamaa wala usingejutia ila sanasana ungejitangaza kwasifa zaidi.

Ushauri wangu, acha usimwambie kitu chochote Kuhusu kumgongea demu wake

Sahv sijutii mkuu ukikua right[emoji23][emoji23]
 
Unajua maana ya Karma?.
Subiri mwanamke unaempenda akiliwa na mtu ndo utajua maana ya Karma
 
Habar zenu wanajukwaa, bila poteza muda wacha niende direct kwa mada husika hapo juu. Ni takribani miaka 4+ sasa imefika toka nifanye mapenz na demu wa rafiki yangu wa damu sana yani mpaka sasa ni mwanangu. Naweza pata shida ya kifedha ya haraka basi nikimchek hyu mwana (jina kapuni) huwa ananitumia hta iwe kubwa kiasi gani huwa ananipa no matter what coz yeye anapiga busn zake

Sasa ilikua 2012 wakt tuko form4 jamaa alikuw na dem wake alikuw anasoma shule nyingine na alikuw anampenda sana alinitambulisha kwa hyu bibie, bhs baada ya mazoea kuzid yule bibie mapenz yakahamia kwangu nikamla hyu bibie 2times jamaa alijuaa but alinisamehe urafiki ukaendelea kama kawa.

Sijamaliza 2015 tena baaada ya kumaliza 6 jamaa alinitambulisha tena demu wake mpya mwingine, hyu bibie mapenz yakahamia kwangu tena but nilijitahd sana kumkwepa lkn samaki nikanasa kwa wavu nikamla japo nilijutia sana kwa kitendo nilichofanya mpaka leo hii karma hii inanihukumu sana. Uzuri jamaa mpaka leo hajui kma nilifanya hiki kitendo.

Kwann nmeandka thread hii nikiwa naongea au nachat na hyu jamaa huwa nafeel bad sana yani nafeel hukumu nawishi nimwambie nilifanya hiv kwa yule dem lakin nashindwa kabisa kumwambia. Najamaa jana nimepiga nae story sana na akasema kesho anakuja mjin anataka twende kariakoo nkamsaidie daka mizigo yake. Nimeplan kesho nimwambie abt nilichofanya kwa yule mwanamke coz sina raha nafeel karma.

Mnanishaurije ni sahihi kumwambia?? Japo yule mwanamke hayuko nae ila alimpendaga sana mpka sasa huwa hamsahau.

GOD FORGIVE MY SINS [emoji1545][emoji1545]
Wewe kwann unaleta mazoea ya ukaribu na mke au mwanamke wa mwenzako....?!
 
Mungu hafanyii kazi malalamiko ya social Network, kama kweli u feel so guilty kwa hill ulilofanya mwite rafiki yako muwe man to man mueleze kila kitu kisha mwomne msamaha.
Ukishamaliza (haijalishi kakusamehe au LA!) Ingia ndani au kanisani au msikitini Muombe tona Mungu unayemuabudu...Mungu huangalia dhamira tu ya nafsi yako kama kweli imekusudia kutubu.

Ukishamaliza Katie sadaka yako kokote utakapoona kwafaa...

Thank me later, if u will do that!

👏 👏 👏
 
Mwanaume kifua. Ukioa na ukigonga nje mbona huwa mnakataa si mnajua mtafanya destructions kwny mioyo ya wenzi wenu? basi piga kimya utamtesa kisaikolojia mshkaji wako urafiki unaweza ishia hapo maana kila siku umamgongea demu zake,utamfanya mpk asioe kabisa.
 
Habar zenu wanajukwaa, bila poteza muda wacha niende direct kwa mada husika hapo juu. Ni takribani miaka 4+ sasa imefika toka nifanye mapenz na demu wa rafiki yangu wa damu sana yani mpaka sasa ni mwanangu. Naweza pata shida ya kifedha ya haraka basi nikimchek hyu mwana (jina kapuni) huwa ananitumia hta iwe kubwa kiasi gani huwa ananipa no matter what coz yeye anapiga busn zake

Sasa ilikua 2012 wakt tuko form4 jamaa alikuw na dem wake alikuw anasoma shule nyingine na alikuw anampenda sana alinitambulisha kwa hyu bibie, bhs baada ya mazoea kuzid yule bibie mapenz yakahamia kwangu nikamla hyu bibie 2times jamaa alijuaa but alinisamehe urafiki ukaendelea kama kawa.

Sijamaliza 2015 tena baaada ya kumaliza 6 jamaa alinitambulisha tena demu wake mpya mwingine, hyu bibie mapenz yakahamia kwangu tena but nilijitahd sana kumkwepa lkn samaki nikanasa kwa wavu nikamla japo nilijutia sana kwa kitendo nilichofanya mpaka leo hii karma hii inanihukumu sana. Uzuri jamaa mpaka leo hajui kma nilifanya hiki kitendo.

Kwann nmeandka thread hii nikiwa naongea au nachat na hyu jamaa huwa nafeel bad sana yani nafeel hukumu nawishi nimwambie nilifanya hiv kwa yule dem lakin nashindwa kabisa kumwambia. Najamaa jana nimepiga nae story sana na akasema kesho anakuja mjin anataka twende kariakoo nkamsaidie daka mizigo yake. Nimeplan kesho nimwambie abt nilichofanya kwa yule mwanamke coz sina raha nafeel karma.

Mnanishaurije ni sahihi kumwambia?? Japo yule mwanamke hayuko nae ila alimpendaga sana mpka sasa huwa hamsahau.

GOD FORGIVE MY SINS [emoji1545][emoji1545]
Stupid fool
 
We kajinga sana,hope sasa hivi utakuwa umekomaa kiumri na kiakili.
Yaani ulale na mtu alafu ikusumbue hivo?
 
Back
Top Bottom