Karma is real imeanza na Lissu, amekuwa mtu wa kutangatanga, amekuwa mtumwa hayuko huru. Atubu kwa kumsingizia Hayati Magufuli mabaya. Mengi yatamkuta

Tundu Lisu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha.

Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu ulivyo kwa wanadamu tulioumbwa kwa mfano wa mwenyezi Mungu tumeumbiwa kusamehe saba Mara sabini kama alivyo Mungu wetu.

Pamoja na kwamba Magufuli alikuwa na uwezo wa kumfanya Lisu chochote wakati wowote yeye alikubali kusingiziwa kwani Rais Magufuli alijua kuwa Lisu hajui alitendalo na ndio maana alichagua kukaa kimya

Magufuli hakuwa mkali hakuwa dikteta ni mtu aliyependa watu wake kwa moyo wake wote aliwahurumia wajane, mahatma, wanyonge

Rais Magufuli aliwatetea waziwazi waliodhulumiwa walioonewa waliodharauliwa alikula na wasiojiweza hakika huyu baba alijawa na huruma na upendo wa Hali ya juu Sana

Tukirudi kwa Lisu na kundi lake la Chadema Maigizo mengi yenye dhihaka na ya uongo wamempakazia Magufuli kisa tu kuwadai kodi ya serikali ambayo siyo mali yao ikawa nongwa

Lissu aitishe Mkutano wa dharula aliombe msamaha Taifa la Tanzania, Familia ndugu na jamaa za Magufuli la sivyo yapo mengi magumu na mazito yatamwandama sana
Leo lisu angekua mfu angemsamehe vipi yule Shetani.
Kumsamehe shetani ni kutenda dhambi x7x70.
Haki kizazi chake hasameheki.
Labda waje hadharani waombe radhi kwa niaba yake
 
Tundu Lisu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha.

Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu ulivyo kwa wanadamu tulioumbwa kwa mfano wa mwenyezi Mungu tumeumbiwa kusamehe saba Mara sabini kama alivyo Mungu wetu.

Pamoja na kwamba Magufuli alikuwa na uwezo wa kumfanya Lisu chochote wakati wowote yeye alikubali kusingiziwa kwani Rais Magufuli alijua kuwa Lisu hajui alitendalo na ndio maana alichagua kukaa kimya

Magufuli hakuwa mkali hakuwa dikteta ni mtu aliyependa watu wake kwa moyo wake wote aliwahurumia wajane, mahatma, wanyonge

Rais Magufuli aliwatetea waziwazi waliodhulumiwa walioonewa waliodharauliwa alikula na wasiojiweza hakika huyu baba alijawa na huruma na upendo wa Hali ya juu Sana

Tukirudi kwa Lisu na kundi lake la Chadema Maigizo mengi yenye dhihaka na ya uongo wamempakazia Magufuli kisa tu kuwadai kodi ya serikali ambayo siyo mali yao ikawa nongwa

Lissu aitishe Mkutano wa dharula aliombe msamaha Taifa la Tanzania, Familia ndugu na jamaa za Magufuli la sivyo yapo mengi magumu na mazito yatamwandama sana
You all strangled to the fullest by LISSU!!!
 
I doubt kama ni aliahidiwa fedha zozote na yeyote!.

Tushiriishane kidogo hapa, kwa mfano alikuwa na uwezo wa kumfanya nini?

Unapozingiziwa jambo la uongo, unapaswa ukanushe!. Unaponyamaza hata mahakamani, silence is the admission of guilt!.

Ndio maana nimewashauri watu hadi taasisi wasikae kimya wakanushe!. TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Sii kweli, alikuwa mkali Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

Sii kweli!, alikuwa dikiteta ila Tanzania tulipofikia tulimhitaji rais dikiteta ili kuinyoosha nchi. Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Ni kweli baada ya nchi kunyooka alibadilika na kuwa mtu mwema na mabadiliko hayo pia tuliyasema!. Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana! na hapa Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. na hapa Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa! na Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya... na hapa Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe Siku zake za mwisho mwisho akabadilika kabisa akawa ni mtu mwema sana "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa! na baada ya umauti, hivi sasa yuko peponi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Kwa hili nilimshauri Lissu Hongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!

Naunga mkono hoja, karma is real! "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
P
Pascal unauma na kupuliza.
Jamaa alikuwa mtawala lakini, kwa nature ya waTz, alizidisha .
 
Huyo mwizi,muuaji na muongo wako ukikaa na kutuliza kiuno huwa unadhani alisingiziwa nini?Wakati huohuo CCM wajinga wenzako kila uchao wanatoa madudu yake!

Unataka kutuaminisha kuwa Karma ndio imemhukumu Magufuli?
Kama ndio basi tusubiri Lisu naye atahukumiwa, kwa matendo yake hakuna haja ya kuomba msamaha
 
Naunga mkono hoja
 
Tatizo mtu mwonu usiye na akili anapoamini ana akili nyingi sana.

Maovu aliyoyafanya dikteta marehemu Magufuli, hukumu yake Mungu ndiye aijuaye maana hukumu ya mwanadamu dhidi ya mwanadamu inaishia pale awapo hai.

Kumshambulia mwanadamu mwenzako kwa nia ya kumwua, kuwaua wanadamu wenzako, kuwateka, kuwapora na kuwabambikia kesi wanadamu wenzako, sababu tu una madaraka ya utawala, ni uovu wa kiwango cha juu kabisa. Wanadamu uliotakiwa kuwapa ulinzi, unaamru wauawe, watekwe na kupotezwa.

Msihangaike na wafu, bali tumieni wakati uliopo kutubu uovu wenu maana mlishirikishwa kwenye kikombe cha uovu, nanyi mkawa mikono ya kutekelezea uovu uliotendwa na mtawala. Mioyo na mikono yenu inadondoka damu za wasio na hatia. Mwovu hata apambwe kwa mavazi ya dhahabu, habadiliki kuwa mtu mwema.
 
Tundu Lisu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha.

Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu ulivyo kwa wanadamu tulioumbwa kwa mfano wa mwenyezi Mungu tumeumbiwa kusamehe saba Mara sabini kama alivyo Mungu wetu.

Pamoja na kwamba Magufuli alikuwa na uwezo wa kumfanya Lisu chochote wakati wowote yeye alikubali kusingiziwa kwani Rais Magufuli alijua kuwa Lisu hajui alitendalo na ndio maana alichagua kukaa kimya

Magufuli hakuwa mkali hakuwa dikteta ni mtu aliyependa watu wake kwa moyo wake wote aliwahurumia wajane, mahatma, wanyonge

Rais Magufuli aliwatetea waziwazi waliodhulumiwa walioonewa waliodharauliwa alikula na wasiojiweza hakika huyu baba alijawa na huruma na upendo wa Hali ya juu Sana

Tukirudi kwa Lisu na kundi lake la Chadema Maigizo mengi yenye dhihaka na ya uongo wamempakazia Magufuli kisa tu kuwadai kodi ya serikali ambayo siyo mali yao ikawa nongwa

Lissu aitishe Mkutano wa dharula aliombe msamaha Taifa la Tanzania, Familia ndugu na jamaa za Magufuli la sivyo yapo mengi magumu na mazito yatamwandama sana
-Jinsi Sukuma gang mnavyohangaika na Lissu hii inaonyesha jinsi mnavyomuogopa, huyo bado yuko sana tu hivyo mjipange na mjiandae kisaikolojia.
-Jiwe ndiyo alipanga shambulio lililofeli la kutaka kumuua Lissu na ushahidi wote wa mazingira umeshazungumzwa mara nyingi na Lissu mwenyewe huwa anamtaja moja kwa moja kwenye vyombo vya habari vya nje ya TZ na vile vya TZ na serikali haijawahi kukanusha.
-Mauaji yote yaliyotokea kipindi cha utawala wa kidikteta wa Jiwe bila ya polisi kuchunguza wala kutolea ufafanuzi yalikuwa ni maelekezo(order) ya moja kwa moja kutoka kwa Jiwe.
 
Tayari Lissu ameanza kupoteza nuru ya kisiasa!

Tayari Lissu ameanza ukibaraka wake!

Safari hii hakuguswa na Polisi,walimuacha bila kumpa Promo!

Tayari umaarufu wa Lissu unapukutika kama ule wa
Dk Shika wa 900milioni!

Muda utaongea!
 
Na laana hizi zitakua juu yake yeye asiyesikiliza maagizo ya Bwana

TORATI 28: 64-68
Bwana atakutawanya katika mataifa yote, tokea ncha hii ya dunia hata ncha hii ya dunia; nawe huko utatumikia miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako, nayo ni miti na mawe.

Wala katika mataifa hayo hutapata raha iwayo yote, wala hutakuwa na kituo cha wayo wa mguu wako; lakini Bwana atakupa huko moyo wa kutetema, na macho ya kuzimia, na roho ya kudhoofika; na uzima wako utakuwa na wasiwasi mbele yako; nawe utakuwa na woga usiku na mchana, wala hutaamini kamwe maisha yako; asubuhi utasema, Laiti ingekuwa jioni! Na jioni utasema, Laiti ingekuwa asubuhi! Kwa kicho cha moyo wako utakavyokucha, na kuona kwa macho yako utakavyoona.

Bwana atakurudisha tena Misri kwa merikebu, kwa njia ambayo nilikuambia, Hutaiona tena po pote; nanyi huko mtajiuza nafsi zenu kwa adui zenu kuwa watumwa na wajakazi, wala hapana atakayewanunua.
Potea shetani, shika njia yako, wala usitumie neno la Bwana kuulinda uovu. Hiyo ni kufuru kuu. Nao wanaolikufuru neno la Bwana watapokea hukumu yao maana neno la Bwana halikuletwa kuulinda uovu bali kutukumbusha na kutuasa dhidi ya uovu.

Wala msidanganyike, kusafiri siyo kutangatanga bali hukufunua na kukuanzishia maisha mapya. Mtumishi mwaminifu wa Mungu Ibrahim aliamriwa kusafiri mpaka nchi ya ugenini, ndipo akapewa utajiri mkubwa. Yusufu alisafirishwa pasipo hiari yake, ndipo anaenda kuwa kiongozi mkubwa Misri. Waisraeli waliamriwa kusafiri kutoka Misri, ndipo wanaenda kupewa nchi ya ahadi. Nabii Musa aliamriwa kusafiri mpaka kwa Farao, ndiko alienda kubeba jukumu kubwa la kuwaongoza Waisraeli. Mtume Paulo alisafiri mpaka Roma ili kufikisha rufaa ya kesi yake, ndipo akapeleka Ukristo Roma.
 
"Karma" itaendelea kuwatenda yale yapaswayo kutendewa nyie ambao hapo awali mlijifanya msiojulikana. Naona sasa mnaanza kujulikana kwa mawazo na matendo yenu.

Mlinufaika sana na mfumo wa kidhalimu kupitia damu za Watanzania wasiokuwa na hatia yoyote ile. Tunajua sasa mnaadhirika kwa kuwa matendo ya ufedhuli wenu hayana nafasi tena kwa sasa. Mmebakia kuwa na tamaa ya fisi.

Once a devil, always a devil
Mleta mada anafahamika, ni miongoni mwa wasiojulikana. Humu wapo 2 wanaojulikana kwa uwazi. Majina yao halisi hayawezi kuwekwa wazi kwa sababu ya kanuni za jukwaa letu. Wanahangaika sana. Mioyo yao haina amani.

Shetani, hata siku moja, hawezi kukupa mafanikio au furaha ya kudumu. Walimtumikia shetani, na sasa ni kipindi cha adhabu dhidi yao. Wamebaki wanaweweseka.
 
Potea shetani, shika njia yako, wala usitumie neno la Bwana kuulinda uovu. Hiyo ni kufuru kuu. Nao wanaolikufuru neno la Bwana watapokea hukumu yao maana neno la Bwana halikuletwa kuulinda uovu bali kutukumbusha na kutuasa dhidi ya uovu.

Wala msidanganyike, kusafiri siyo kutangatanga bali hukufunua na kukuanzishia maisha mapya. Mtumishi mwaminifu wa Mungu Ibrahim aliamriwa kusafiri mpaka nchi ya ugenini, ndipo akapewa utajiri mkubwa. Yusufu alisafirishwa pasipo hiari yake, ndipo anaenda kuwa kiongozi mkubwa Misri. Waisraeli waliamriwa kusafiri kutoka Misri, ndipo wanaenda kupewa nchi ya ahadi. Nabii Musa aliamriwa kusafiri mpaka kwa Farao, ndiko alienda kubeba jukumu kubwa la kuwaongoza Waisraeli. Mtume Paulo alisafiri mpaka Roma ili kufikisha rufaa ya kesi yake, ndipo akapeleka Ukristo Roma.

Weeee

Huwezi kumlinganisha Ibrahimu wala Yusufu au Musa na Tundu
Huwezi linganisha uzao Amaleki na wa Israel hata siku moja
 
Tundu Lisu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha.

Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu ulivyo kwa wanadamu tulioumbwa kwa mfano wa mwenyezi Mungu tumeumbiwa kusamehe saba Mara sabini kama alivyo Mungu wetu.

Pamoja na kwamba Magufuli alikuwa na uwezo wa kumfanya Lisu chochote wakati wowote yeye alikubali kusingiziwa kwani Rais Magufuli alijua kuwa Lisu hajui alitendalo na ndio maana alichagua kukaa kimya

Magufuli hakuwa mkali hakuwa dikteta ni mtu aliyependa watu wake kwa moyo wake wote aliwahurumia wajane, mahatma, wanyonge

Rais Magufuli aliwatetea waziwazi waliodhulumiwa walioonewa waliodharauliwa alikula na wasiojiweza hakika huyu baba alijawa na huruma na upendo wa Hali ya juu Sana

Tukirudi kwa Lisu na kundi lake la Chadema Maigizo mengi yenye dhihaka na ya uongo wamempakazia Magufuli kisa tu kuwadai kodi ya serikali ambayo siyo mali yao ikawa nongwa

Lissu aitishe Mkutano wa dharula aliombe msamaha Taifa la Tanzania, Familia ndugu na jamaa za Magufuli la sivyo yapo mengi magumu na mazito yatamwandama sana
Karma ya ukweli ni ile iliyomrudi yule mwovu aliyetaka kumuua Lissu matokeo yake kafa kibudu.
 
Umesahau na yale aliyomsingizia baba wa taifa letu mw. Nyerere.
 
Angalia bwana na hizo kauli zako, WENZIO WALIOMSEMA LOWASA WENGI WASHAKUFA..!! Shauri yako
 
Unataka kutuaminisha kuwa Karma ndio imemhukumu Magufuli?
Sio nataka kusema, ni karma!
Kama ndio basi tusubiri Lisu naye atahukumiwa, kwa matendo yake
Sio tusubiri, hicho tuu kilichomtokea nayo pia ni karma!, na angalizo la karma tuliwapa kitambo!. Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!". Uliwahi kusikia ni nini kilimpata mlinzi wa Dr. Slaa aitwae Kagenzi?. Unajua huyo Kagenzi alifanywa nini na ni nani aliyeongoza hiyo operesheni Kagenzi? Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa
hakuna haja ya kuomba msamaha
Ipo haja ya kuomba msamaha, ukifanya jambo ovu lolote, ukiomba msamaha, unakuwa umepunguza makali ya karma.
Na ukifanya maovu, kisha ukafanya mema mengi na makubwa kuliko ule uovu, ule uovu wote wa mwanzo unafutika na unabarikiwa, na ndio maana karma ya JPM took its toll kwa kifo chake na baada ya pale dhambi zake zote zilisamehewa na hivi sasa yuko peponi! Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Back
Top Bottom