Karma is real imeanza na Lissu, amekuwa mtu wa kutangatanga, amekuwa mtumwa hayuko huru. Atubu kwa kumsingizia Hayati Magufuli mabaya. Mengi yatamkuta

Leo lisu angekua mfu angemsamehe vipi yule Shetani.
Kumsamehe shetani ni kutenda dhambi x7x70.
Haki kizazi chake hasameheki.
Labda waje hadharani waombe radhi kwa niaba yake
 
You all strangled to the fullest by LISSU!!!
 
Pascal unauma na kupuliza.
Jamaa alikuwa mtawala lakini, kwa nature ya waTz, alizidisha .
 
Huyo mwizi,muuaji na muongo wako ukikaa na kutuliza kiuno huwa unadhani alisingiziwa nini?Wakati huohuo CCM wajinga wenzako kila uchao wanatoa madudu yake!
 
Unataka kutuaminisha kuwa Karma ndio imemhukumu Magufuli?
Kama ndio basi tusubiri Lisu naye atahukumiwa, kwa matendo yake hakuna haja ya kuomba msamaha
 
Naunga mkono hoja
 
Tatizo mtu mwonu usiye na akili anapoamini ana akili nyingi sana.

Maovu aliyoyafanya dikteta marehemu Magufuli, hukumu yake Mungu ndiye aijuaye maana hukumu ya mwanadamu dhidi ya mwanadamu inaishia pale awapo hai.

Kumshambulia mwanadamu mwenzako kwa nia ya kumwua, kuwaua wanadamu wenzako, kuwateka, kuwapora na kuwabambikia kesi wanadamu wenzako, sababu tu una madaraka ya utawala, ni uovu wa kiwango cha juu kabisa. Wanadamu uliotakiwa kuwapa ulinzi, unaamru wauawe, watekwe na kupotezwa.

Msihangaike na wafu, bali tumieni wakati uliopo kutubu uovu wenu maana mlishirikishwa kwenye kikombe cha uovu, nanyi mkawa mikono ya kutekelezea uovu uliotendwa na mtawala. Mioyo na mikono yenu inadondoka damu za wasio na hatia. Mwovu hata apambwe kwa mavazi ya dhahabu, habadiliki kuwa mtu mwema.
 
-Jinsi Sukuma gang mnavyohangaika na Lissu hii inaonyesha jinsi mnavyomuogopa, huyo bado yuko sana tu hivyo mjipange na mjiandae kisaikolojia.
-Jiwe ndiyo alipanga shambulio lililofeli la kutaka kumuua Lissu na ushahidi wote wa mazingira umeshazungumzwa mara nyingi na Lissu mwenyewe huwa anamtaja moja kwa moja kwenye vyombo vya habari vya nje ya TZ na vile vya TZ na serikali haijawahi kukanusha.
-Mauaji yote yaliyotokea kipindi cha utawala wa kidikteta wa Jiwe bila ya polisi kuchunguza wala kutolea ufafanuzi yalikuwa ni maelekezo(order) ya moja kwa moja kutoka kwa Jiwe.
 
Tayari Lissu ameanza kupoteza nuru ya kisiasa!

Tayari Lissu ameanza ukibaraka wake!

Safari hii hakuguswa na Polisi,walimuacha bila kumpa Promo!

Tayari umaarufu wa Lissu unapukutika kama ule wa
Dk Shika wa 900milioni!

Muda utaongea!
 
Potea shetani, shika njia yako, wala usitumie neno la Bwana kuulinda uovu. Hiyo ni kufuru kuu. Nao wanaolikufuru neno la Bwana watapokea hukumu yao maana neno la Bwana halikuletwa kuulinda uovu bali kutukumbusha na kutuasa dhidi ya uovu.

Wala msidanganyike, kusafiri siyo kutangatanga bali hukufunua na kukuanzishia maisha mapya. Mtumishi mwaminifu wa Mungu Ibrahim aliamriwa kusafiri mpaka nchi ya ugenini, ndipo akapewa utajiri mkubwa. Yusufu alisafirishwa pasipo hiari yake, ndipo anaenda kuwa kiongozi mkubwa Misri. Waisraeli waliamriwa kusafiri kutoka Misri, ndipo wanaenda kupewa nchi ya ahadi. Nabii Musa aliamriwa kusafiri mpaka kwa Farao, ndiko alienda kubeba jukumu kubwa la kuwaongoza Waisraeli. Mtume Paulo alisafiri mpaka Roma ili kufikisha rufaa ya kesi yake, ndipo akapeleka Ukristo Roma.
 
Mleta mada anafahamika, ni miongoni mwa wasiojulikana. Humu wapo 2 wanaojulikana kwa uwazi. Majina yao halisi hayawezi kuwekwa wazi kwa sababu ya kanuni za jukwaa letu. Wanahangaika sana. Mioyo yao haina amani.

Shetani, hata siku moja, hawezi kukupa mafanikio au furaha ya kudumu. Walimtumikia shetani, na sasa ni kipindi cha adhabu dhidi yao. Wamebaki wanaweweseka.
 

Weeee

Huwezi kumlinganisha Ibrahimu wala Yusufu au Musa na Tundu
Huwezi linganisha uzao Amaleki na wa Israel hata siku moja
 
Karma ya ukweli ni ile iliyomrudi yule mwovu aliyetaka kumuua Lissu matokeo yake kafa kibudu.
 
Umesahau na yale aliyomsingizia baba wa taifa letu mw. Nyerere.
 
Angalia bwana na hizo kauli zako, WENZIO WALIOMSEMA LOWASA WENGI WASHAKUFA..!! Shauri yako
 
Karma ya ukweli ni ile iliyomrudi yule mwovu aliyetaka kumuua Lissu matokeo yake kafa kibudu.

Kufa ni faida mkuu, tena anayejua atakufa akafanya kazi zake akafa ana faida kubwa sana
Wewe utaishi milele mungu? πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

 
Unataka kutuaminisha kuwa Karma ndio imemhukumu Magufuli?
Sio nataka kusema, ni karma!
Kama ndio basi tusubiri Lisu naye atahukumiwa, kwa matendo yake
Sio tusubiri, hicho tuu kilichomtokea nayo pia ni karma!, na angalizo la karma tuliwapa kitambo!. Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!". Uliwahi kusikia ni nini kilimpata mlinzi wa Dr. Slaa aitwae Kagenzi?. Unajua huyo Kagenzi alifanywa nini na ni nani aliyeongoza hiyo operesheni Kagenzi? Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa
hakuna haja ya kuomba msamaha
Ipo haja ya kuomba msamaha, ukifanya jambo ovu lolote, ukiomba msamaha, unakuwa umepunguza makali ya karma.
Na ukifanya maovu, kisha ukafanya mema mengi na makubwa kuliko ule uovu, ule uovu wote wa mwanzo unafutika na unabarikiwa, na ndio maana karma ya JPM took its toll kwa kifo chake na baada ya pale dhambi zake zote zilisamehewa na hivi sasa yuko peponi! Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…