Karma is real imeanza na Lissu, amekuwa mtu wa kutangatanga, amekuwa mtumwa hayuko huru. Atubu kwa kumsingizia Hayati Magufuli mabaya. Mengi yatamkuta

Unapenda sana kuhukumu wenzako kwa neno hili "karma" lisilokauka mdomoni mwako
Mimi najihesabu ni miongoni mwa waalimu wa somo la karma humu jf, "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako! na kila likifanyika jambo linaloweza kuja kuleta a bad karma, huwa nalisema kabla huku nikitoa ushauri wa jinsi ya kuizuia, na hiyo bad karma ikitokea, hurejea humu na kukumbushia nilisema nini na kimetokea nini!.
kana kwamba wewe ni "exceptional" na ni mtakatifu, huna dhambi na kwamba karma haikuhusu..
Mimi niko open and very transparent kuwa I'm only human, sina u exceptional wowote na wala mimi sio mtakatifu, pombe nakunywa, tunda namega, na karma inanihusu sana, na mapito yangu yako very openly humu jf kuanzia Pascal Mayalla apata ajali..... nikashuka if na waraka kushukuru Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana! hivyo nami ni mhanga wa karma.
basi tambua kuwa hata wewe "karma" is knocking your 🚪🚪🚪🚪🚪door unless uwe hujui maana ya neno lenyewe "karma" na matumizi yake ktk kusema na kuandika.!
Hili nimeisha lisema
Be warned, Be safe, Be smart and be truthful. Mr Pascal Mayalla!
Mimi ni miongoni mwa watu wakweli sana humu JF, kiumri ninaitafuta 60 na bado naendelea kuwafundisha watu humu kuhusu karma na haya ni baadhi tuu ya madarasa yangu ya somo la karma
  1. "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
  2. Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?
  3. Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
  4. Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma
  5. Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
  6. The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!
  7. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
  8. Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
  9. Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!
  10. Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
Ukitaka mabandiko 20 ya karma yapo, hata 50 au 100 na hizo karma zote ama zimetokea ama zitatokea!.
P
 
Unafahamu Kiswahili? Unaelewa maana ya kutangatanga? Mtu anayetambua anaenda wapi, anaenda kufanya nini, hawezi kutangatanga.

Kutangatanga ndio huko kwa tundu😅😅 hivi hajaanza kuwaita aljezira na bibisii huko anakotanga😏
 
Aliyepigwa na Karma yuko Chato futi sita chini ya ardhi analiwa na minyoo. Achana na Lissu wewe.
 
Alichokifanya dikteta Magufuli kwa lissu ameishapata malipo yake hapa duniani na motoni aliko sasa
 

Ukiacha chuki kidogo akili zako zinaweza kuona ukweli
Ukweli gani, kwani ni uongo kwamba hakuvunja nyumba za watu wakati huohuo akiwahamasisha wale wa Mwanza waendelee kujenga na hatawabomolea kwa kuwa wamempigia kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…