KARMA - Kidamali: Wewe Mwenyewe Ndiye

Je, bado nina haki ya kumchukia mama Maila ama niwe mpole kama mfalme Daudi?

  • Una haki ya kumchukia (we all have a past lakini alichokifanya sicho)

  • Unavuna ulichopanda (It's Karma!)

  • Nipo katikati (Matukio hayana uhusiano kwangu; so reaction zote mbili naziona justified)

  • Sijui (bado sijaamini kilichotokea, nimeshindwa kutafakari, ...)


Results are only viewable after voting.

Boss umerejea nini? Karibu buana
 
Long time sana brother Mentor , pasipo kukusoma thread zako, nimefurahi kuisoma hii, japo ina muda sijui mimi nilikuwa napita wapi.
 
Duuh
 
Sawa, sijui kama baba Jael atapita hapa kusoma. Ila nimemkumbuka sana, tumefahamiana kitambo sana tangu enzi za Hotmail....
Duuh last seen yake October huko anyway atarudi tu

Hivi kabla ya email ndo kulikuwa na Hotmail?
 
Acha dharau bibi, πŸ˜€

Huo ndo uhalisia.

Baba Jael ni mtu mzuri sana pamoja na mabaya yake ila mzani wa mazuri ni mzito.
Mungu aendelee kumuweka na kumtimizia haja ya moyo wake huko aliko.

Kwenye haya maisha kuna watu unakutqna nao wanongeza chanya nyingi, uzuri nilishamwambia chanya alizoongeza kwenye maisha yangu, naamini naye amepata za kwake.

Ndo pale wanasema, hujakutana/hujafahamiana na mtu kwa bahati mbaya, kusudi lipo na lilitimia.
 
Duuh umeongea kwa hisia sana wala sikutegemea natumai akirudi atakusabahi

But kwani huna namba zake muongee huko zaidi!
 
Mkuu umenikumbisha nyumban kidamali nimetoka kitambo sana nipe jina la binti nikusaidoe kumtafuta mwanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…