Karne hii ni vigumu kupata Viongozi mioyo ya chuma kama kina Nyerere, Sokoine Dr. Kleruu nk

Karne hii ni vigumu kupata Viongozi mioyo ya chuma kama kina Nyerere, Sokoine Dr. Kleruu nk

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,153
Reaction score
3,800
1. Walisimamia waliyoyaamini bila kuyumba.
2. Walipinga Kiongozi wa umma kujilimbikizia mali kwa wao kuwa mfano.
3. Walitoa kauli au matamko yenye msimamo mmoja.
4. Waliheshimu viongozi waliowateua.
5. Hawakuwahi kubagua watu kwa makabila, dini, mila, ukanda nk.
 
Ndio chanzo cha umasikini wetu kwa kuwaaminisha watu umasikini dio uzalendo utajiri ni dhambi
 
No 1 kuyasimamia unayoyaamini bila kuyumbishwa ni udikteta unaweza ukayaamini lakini yasiwe yenye manufaa kwa wengine au kuwaumiza wengine mfano Kreluu akutaka wakulima iringa wapanue mashamba yao ili wawe matajiri,mkukima mwandindi alikuwa shujaa wa enzi hizo Wa kupinga udikteta waziwazi.

Sokoine na Nyerere awakutaka watu wawe na Mali waliwachukia matajiri waziwazi hata kuzipora mali zao ( kuzitaifisha) zilizochumwa kihahali toka zama ya mkoloni, mkoloni akuwa na shida na Mwafrika kumiliki mali, matajiri wazawa walianza kuchomoza enzi za utawala Wa mwinyi.
 
1. Walisimamia waliyoyaamini bila kuyumba.
2. Walipinga Kiongozi wa umma kujilimbikizia mali kwa wao kuwa mfano.
3. Walitoa kauli au matamko yenye msimamo mmoja.
4. Waliheshimu viongozi waliowateua.
5. Hawakuwahi kubagua watu kwa makabila, dini, mila, ukanda nk.
Hakuna viongozi wote wavabaishaji,kiongozi atakuwa Jerry Muro,Katambi,Joketi Makonda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapo mazuri ya kujifunza toka kina Nyerere,Sokoine ,baadhi ya kuboresha.Ccm bado wanatudanganya taifa letu ni la kijamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio pa kuanzia. Ukikaza sana kuwa tuwe wajamaa, hutaona mtu wa kuchukua fomu kugombea ubunge, they know!
 
Back
Top Bottom