Hakuna viongozi wote wavabaishaji,kiongozi atakuwa Jerry Muro,Katambi,Joketi Makonda?1. Walisimamia waliyoyaamini bila kuyumba.
2. Walipinga Kiongozi wa umma kujilimbikizia mali kwa wao kuwa mfano.
3. Walitoa kauli au matamko yenye msimamo mmoja.
4. Waliheshimu viongozi waliowateua.
5. Hawakuwahi kubagua watu kwa makabila, dini, mila, ukanda nk.
Jokate mpe heshima yake ni Mara Mia kuliko haoHakuna viongozi wote wavabaishaji,kiongozi atakuwa Jerry Muro,Katambi,Joketi Makonda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio pa kuanzia. Ukikaza sana kuwa tuwe wajamaa, hutaona mtu wa kuchukua fomu kugombea ubunge, they know!Yapo mazuri ya kujifunza toka kina Nyerere,Sokoine ,baadhi ya kuboresha.Ccm bado wanatudanganya taifa letu ni la kijamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app