2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Asee huko Gaza kuna rundo la vifusi na skrepa za vifaru, hamasi wanavibomoa sana. Kwanini media za kimagharibi hazitangazi kama zilivyotangaza vya Urusi kule Ukraine?
Hata vifo vya Waisraeli ni vingi mno, kama Israel iliweza kushinda waarabu miaka ya 60 kwa vita vya siku 6 imekuwaje mgambo tu ambao wako kwenye wilaya ndogo kama Kigamboni wanashindwa kuiteka?
Kila ukiskia taarifa za habari utasikia mapigano makali yaendelea huko Gaza 🤣🤣😏 nacheka kwa dharau.
Jeshi bora duniani linashindwa kuiteka wilaya inayolindwa na migambo? Israel hamna kitu ni sifa tu.