Karne ya sasa wanawake ndio wanaongoza kwa kuvunja ndoa bila kujali idadi ya watoto walionao

Karne ya sasa wanawake ndio wanaongoza kwa kuvunja ndoa bila kujali idadi ya watoto walionao

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Wanawake hawaheshimu taasisi ya ndoa Ile tabia ya uchumba huwa inayeyuka mpaka wanakuwa wanyama ndani ya ndoa zetu.

Poleni sana wanandoa.

Kupitia hili sisi wanaume tujue kwamba kumzalisha mke watoto wengi hakumfanyi mwanamke ajenga commitment zaidi kwenye ndoa,. Au kumpa zawadi ya gari/nyumba hakumfanyi akuheshimu hiyo haipo.

Pia tujue kuwa dini ya mwanamke haimfanyi kuwa mke Bora.

Wanaume tuoe wanawake tunaowamudu kwa Kila kitu other wise alale pema peponi kamanda...🎼
 
Back
Top Bottom